Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Yaan mtoa mada kama kigezo chako cha kuoa mwanamke ni bikra basi utakuja kujuta na kufeli sana kwenye maisha ya ndoa ( kama hujaoa lakini)
Na kama umeoa na kigezo chako kilikua ni bikra na unaishi vzur na mke wako basi utakua either ni mwanaume mwenye bahati sana or ni mwanaume mjinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli mtupu. Najua mada yako ni mkuki moyoni kwawatu wengi waliooa wasio bikra na walioolewa bila bikra. Thamani ya mwanamke asiyemjua mwanaume ni kubwa sana. Binafsi natamani ningeoa bikra maishani mwangu, na uhakika ni kuwa natamani wakati naoa mimi mwenyewe ningekua sijamjua mwanamke. Kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa ni jambo ambalo huwa linaniumiza japo siwezi rekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatwanga maji kwenye kinu mngeanza kuelimisha upande wa kiume kwanza kijana ukikuta bikra ni kuoa matokea yake kwa sasa wakikuta bikra ni kujisifu wanatembea kwa mwengine. Ndoa zenyewe kwa sasa ni majanga tusidanganyane bikra haileti utulivu kwenye ndoa ili kuwa zamani wazee wetu walioenda jando sio wa sasa jeuri kibao.
Hawa atleast kidogo bikra inaleta hadhi ya binti status yake kuwa ni wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom