Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nakujibu kama ifuatavyo.
1. Bikra ni kama umenunua kitu hakijawahi kutumiwa popote pale yaani kimetoka kiwandani. Fanya majaribio haya
A. Kanunue simu mpya ambayo hajawahi kutumiwa ambayo ipo kwenye box
B. Kanunue simu used

2. Kwani kuna mtu anajua unagongwa saa ngapi zaidi ya jamaa yako? Kuoa mke bikra ni heshima kubwa sana sababu unatumia kitu ambacho hakijawahi kuguswa. Wewe ndiyo unakata utepe.
Ndoa nyingi siku hizi zinavunjika sababu watu kwenye mahusiano wanaona kitu cha kawaida sana lakini mahusiano yanabadilisha sana tabia za watu. Mtu kazaliwa ana mapenzi ya dhati 100% lakini anaingia kwenye uhusiano wa mapenzi anatendwa, anaingia tena anatendwa, anaingia tena anatendwa. Huyu mtu lazima abadiike tabia 100% hata ukikutana naye ukamuonesha mapenzi ya dhati lazima na yeye akutende kama kulipa kisasi. Mahusiano ya mapenzi yanabadilisha sana mtindo wa watu kuishi na tabia.
1. Kwann mnajadili bikra kama ni kitu ch ajabu wakat hata kwa penseli kinatoka ndani ya sec?

2. Halafu nani kasema ukioa bikra heshima nan atajua kama umeng'oa bikra?!

Jibu haya basi
 
Bikra na tabia za mtu havina uhusiano kabisa, asilimia karibu 99.99 ya wanawake huzaliwa wakiwa bikra na umri wa kupoteza ubikra wao unatofautiana na wanapoteza kwa sababu mbalimbali japo asilimia kubwa ni kupitia kuingiliwa na mwanaume. Mwanamke kuolewa bikra sio kigezo cha kudumu kwenye ndoa. Kuna maeneo kama nchi za uarabuni asilimia zaidi ya 98 ya wanawake hupoteza ubikra wao kupitia kwa waume zao wa ndoa, lakini bado ni nchi zenye viwango vya juu vya talaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kasema, unajua maana ya kuvaa shela jeupe kwa Bibi harusi? Maana yake bado uko silidi, basi bwana harusi anaenda anakuta bajada (physical geography wamenielewa hapo) amin Amin nakwambia furaha na Amani atakayo kuwa nayo mumeo ni ya unafiki maisha yenu yote.

Hata mama mkwe aliyeozesha binti bikra angalia mkwala anavyojiamini akija kwako, sasa kutana na aliyeozesha bajada[emoji2][emoji2][emoji2] hajiamini

Bikra za me na ke zingekuwa zinaonekana kwenye paji la uso bajada zingebaki nyingi mtaani

Muulize mmeo siku moja et Baba x ungependa kunikuta silidi au bajada? hapo utapima unafiki wake

Hiv unamwoneaje wivu mwanamke uliyemkuta kipa kashatoka golini, kweli maisha bila unafiki hayaendi, wanaume acheni unafiki ndoto zenu mlitaka mumkute kaseja golini

Bora nimkute kaseja golini afu dem aharibikie kwangu kuliko kukuta kipa kashatoka afu eti unaanza kuweka mikwala ooh nani kakupigia usiku huu, unatoka wapi, sms hiyo ya nani[emoji2][emoji2][emoji2]
Amani na furaha ndio inahitajika kwenye ndoa nyingine mbwembwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanatetea ili waonekane bora ila binafsi ukweli wanaujua, mi hua naahangaa napoona mtu kaoa mwanamke sio bikra yani aliliwa kabla hajakujua na ataendelea kuliwa baada ya kukujua aisee huruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka gari likusumbue nunua gari used. Mpya ni mpya tuu.

Pesa ya kununua gari jipya mnayo au ilimradi kutoa maneno ya shombo? Magari mnayoagiza japan yote used.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari used si zuri,kuna vitu vitakushinda itabidi umuulize aliyekua analitumia ili utatue tatizo linalokukabili muda huo,lakini kwa gari mpya,unaangalia tu MANUAL.
 
Back
Top Bottom