Kweli kabisa.
Kwa wahaya mwanamke bikra ilitakiwa itolewe siku ya ndoa na mashangazi walipaswa kuhakikisha hilo.
Na wasiokutwa bikra hata mahali urudishwa na ukoo kudharaulika na mwanamke kufukuzwa uhayani
Wanawake waliokutwa sio bikra,au waliopata mimba walikimbilia mwanza na wengi Dar kabisa na walipata maagent na kuwaingiza kwenye umalaya rasmi na wengine kuanzisha madangulo kabisa mfano mwananyamala Kwa wahaya na huko buguruni sijui tandika.kimsingi waliishia kuanzisha biashara ya kujiuza na wamelichafua kabila la wahaya mpaka Leo.
Ila uhayani ni vigumu Sana kukuta Malaya na ukatoliki umekamata haswa na maana majina ya kihaya huishia na us maana ni ya kilatin
Sent using
Jamii Forums mobile app