Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 kama ujaelewa basi jiwe gizani litakalo mpata huyo huyo.Who is devil Sasa ? Mtoa Mada Ama walengwa ?
Hujapenda wewe ukimpenda hiyo bikra Utakuja kuiulizia baada ya kupata mtoto wa tatu utasikia hivi wakati nakuoa ulikuwa bikra eeh..!
Bro jamii forum kuna bikra humu?Humu Jf wapo wengi kichizi huwezi amini. Wapo wanne wamenicheki wakajaribu kueleza jinsi wanavyojitunza. Hakika Mungu awabariki
Ule uzi wako mwingine kuhusu the so called BIKRA umefutwa ?
kabisa mkuu nasaka tuNi bora utafute ukose kuliko wakutafutie wengine wakikosa wakuambie hakuna. Huo ni ulofa
Kweli kabisa.
Kwa wahaya mwanamke bikra ilitakiwa itolewe siku ya ndoa na mashangazi walipaswa kuhakikisha hilo.
Na wasiokutwa bikra hata mahali urudishwa na ukoo kudharaulika na mwanamke kufukuzwa uhayani
Wanawake waliokutwa sio bikra,au waliopata mimba walikimbilia mwanza na wengi Dar kabisa na walipata maagent na kuwaingiza kwenye umalaya rasmi na wengine kuanzisha madangulo kabisa mfano mwananyamala Kwa wahaya na huko buguruni sijui tandika.kimsingi waliishia kuanzisha biashara ya kujiuza na wamelichafua kabila la wahaya mpaka Leo.
Ila uhayani ni vigumu Sana kukuta Malaya na ukatoliki umekamata haswa na maana majina ya kihaya huishia na us maana ni ya kilatin
Sent using Jamii Forums mobile app