Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bikra nI usafi...kwaiyo Kama unataka mwanamke awe Safi alafu Wewe uwe mchafu ukitetea kuwa bikra kwa mwanaume haina Maana yotote Hilo Ni Tatizo....

Wapi Mungu alisema.wanaume mkazini na KILA mwanamke...alafu ukitaka kuoa oa bikra..
.mkuuu..msitengeneze Dini yenu..kuhalaisha uchafu wenu.
 
Kuna hekima kubwa kwa Mwenyezi Mungu kuwaumba wanawake namna hii, wanawake ni viumbe ghali sana na thamani kubwa. Akitoka mwanamme avue nguo barabarani sanasana atazomewa tu au kudharauliwa kichaa sasa avue mwanamke atabeba kijiji. Jiulize wanaume wameumbwa nyumba zao hazina ufunguo hata hujui kaingia au katoka sio muhimu ila wanawake locked ili wajilinde sababu thamani yao ni kubwa sana sasa wewe umeumbwa na lock unaenda kufungulia watu waingie na kutoka. chumba chenye vitu vya thamani ndio kinafungwa na kufuli. kwa ufupi Bikra ina thamani sana ila sisemi kuwa ndio inamfanya mtu kuwa bora kwa tabia hapana ni vitu viwili tofauti ila inamfanya mwanamke kutembea kifua juu...
 
Kwahyo biblia imekubari kuzini?
 
Mimi nitazungumziaje maamuzi ya watu na miili yao jamani, kwangu mimi na mipaka mtu anayejiskia kufanya na afanye tu kwa Raha zake Mimi ni Nani nihukumu wengine.
Bibie hapa unakosea
 
Kuna mdau mmoja kafunga ndoa majuzi na binti fresh. Shangazi wa binti kamng'ang'ania atoe zawadi kwa kumtunzia bikra. Nimeipenda sana hii kwamba bado wako watu wanaenzi tamaduni za malezi sahihi ya binti. Hii ni heshima kubwa kwa wazazi wa binti
 
naiskia Harufu ya jela maeneo haya
 
Kwani si nyie wazenj ndio michezo mnaita michezo ya pwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi zi mzenji...Ila sifikirii Kwamba huko zenji Watu wanafanya hayo Mambo...

Watu waliokengeuka Kama Wewe wapo KILA mahala.
 
Cariha, you are a real feminist.

Vv
[emoji23][emoji23]I'm not bwana what I have learn in this life watu tunafungwa na vitu tulivogundishwa na matokeo yake kuishi unafiki na kuhukumiana kuwa hiki si sahihi au sahihi Sasa matokeo yake ni kuteseka tu.
 
Mkuu..nipe huyo mtoto nikuleleee..naweza nisimpende zaidi yako..ila anaweza akanusurika na Mengi.

Sijui unashida gani na ndoa..mpaka unaamini Uzinifu Ni Bora kuliko ndoa.
.
Mimi Sina shida na ndoa na hii mada ni kuhusu bikra napinga unafiki wetu wa kijamii kuwa hichi dhambi, kile sahihi inafanya watu wasiishi kwa furaha. Mimi mtoto wangu siwezi kumpa mtu amlee, nitamlea kwa misingi ya kuwa mstaarabu, kujali utu na upendo na heshima and working hard na kusali, plus meditation, akishafanya hayo automatic atajiamini na hatafata unafiki wa kijamii, ambao tunao Ila watu wanaharibika daily. Ni huku Africa watu wanajidai kujaa kwenye majumba ya ibada Ila ndio vinara wa matendo yote machafu, plus unafiki uongo uongo mwingi na mengineyo.
 
Ukweli ulio na ukakasi.
 

Mkuu acha kelele tupo na sisi mbinu za kuwapata hao bikra maana Dar hadi za nyuma hakuna
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe ni malaya ulieikubali hali yako.Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…