Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Dah umegonga mule mule braza...yaani kwa kweli tunaoa malaya tuu ili maisha yaende.
 

Mada inahusu uzinzi. Tutafungua mada ya wezi.

Kama hukuolewa bikra jua wewe ni malaya
 
Mkuu sema kwenye maisha yako kipaumbele ni bikra kabila ya yote mkuu. Nina kila MTU ana kipaumbele hapa duaniani. Binafsi namie Nina kipaumbele zaidi ya bikra na mwanamke MIE haniumizi kichwa yaani ana asilimia ndogo sana kwenye furaha Yangu hapa duaniani. Na huo ni ukweli tunatofautiana.

Kila MTU ana ndoto yake na nilivyo na imani ni kuwa ukisimamia imani yako Uko sawa ila sasa sio umezeshe ama ulazimishe wote kuwa kuabudu lazima uiname. Binafsi Sina dini ila nilishazama kwenye hizo dini nikazijua na huwa siendi huko kwenye majumba ila Nina imani Yangu na Mungu wangu aliyeniumba ambaye anajua lini atanichukua.
 
Umeelezea yote kwa ndani na kwa details mie niliyesema hvo nikaitwa Malaya, haya Bora uandike wewe labda wataelewa kwa undani.
 
Wewe unayo ???
Aki ya nani [emoji23]
Kila mtu anapata wa kufanana naye
Mbona mnapenda kubishana na mawazo au mipango ya watu bila sababu ya msingi..no matter what mimi sitooa demu asiye na bikra ndo nilivyopanga maana mimi ndo ninayeoa..
 
Mbona mnapenda kubishana na mawazo au mipango ya watu bila sababu ya msingi..no matter what mimi sitooa demu asiye na bikra ndo nilivyopanga maana mimi ndo ninayeoa..
Mimi sijakupinga wala
 
Binafsi nilimpata wa miaka 17 mkuu bado mdogo nikajua Nita mould any way I want. Nashukuru Mungu mambo yanaenda kama nilivyotarajia. Kama ni ajira nitamuajiri MIE mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…