Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naunga hoja kwa asilimia 100%. Ndoa za hivyo Mara nyingi zinadumu sana kulio mwanamke ambaye Hana Utepe, Ni dhambi kubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu, Kwa Mwanaume kumtoa mwanamke bikra Mwanamke Usie kuwa wa Uhitaji wa Kumuoa.
 
Wakeze hawaja mpa stress huyu Mambo yake bulibuli
Hili neno la "BuliBuli" unenikumbusha Shairi moja maarufu sana la kiarabu linaitwa "Swawti Swafur Bulbul", humo anaongelewa ndege (Mwanamke Mrembo) na lugha iliyotumika humo ni tamu ajabu ile lugha ya ndani kabisa.
 
nilivuta bangi juzi ikanimbia nikioa nioe binti mdogo wa miaka 15 nikasoma katiba sheria ya ndoa nikaona inaruhusiwa kwa ridhaa ya wazazi na mimi personally naiheshimu sana bangi
 
Umeelezea yote kwa ndani na kwa details mie niliyesema hvo nikaitwa Malaya, haya Bora uandike wewe labda wataelewa kwa undani.
Mleta mada haongeli uzinzi anaongelea bikra msitoke nje ya mada!! Yani cha muhim ni uoe mwanamke uliyemtoa usichana ww mwenyewe!! na haijalishi uliitoa kabla ya ndoa au baada ya ndoa! NAUNGA MKONO HOJA NA WANAWAKE BIKRA NI WENGI ACHANENI NA KINA cariha waendelee kitumia K zao vizur kama anavyodai dai yeye!!
 
Wakuu mpooo!


Niliusiwa na wazazi wangu mambo makuu mawili katika kuchagua mke

1. Nisichague mwanamke asiye na bikra
2. Nisioe mwanamke masikini`

Kiufupi sijawahi kuwa na mwanamke hohe hahe. Sijawahi kujuta kwenye mapenzi. Wanawake wenye pesa hawana mambo ya kiswahili, wanapenda kweli. Wanatunza apointment. Wengi sio malaya. Wanachotaka ni true love.

Wanawekla masikini sitaki hata kuwazungumzia. Wengi mmeshawaanzishia nyuzi humu jinsi yalivyomalaya, wasivyo na shukrani, yaani tabu tupu.

Huna pesa hata bikra ukose?
Huna Bikra hata pesa Ukose?

Watu wazima waliooa wenye miaka 40+ watanielewa.

Kama hujaoa usioe mwanamke asiye na bikra. Na kama hana basi awe na uwezo wa kifedha. Utakuja kunishukuru.

Mwanamke masikini bikra itambeba. Kama hana bikra basi pesa itambeba.

Pesa ndio bikra kwa wanawake wasio na bikra halisi.

Virginity Matters
 
Aisee! Aibu nimeona mimi. πŸ˜’



Let's meet at top, cheers 🍻
 
Wanakuja kukuita Marioo kwa hasiraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Jiandae mzee!!!

Hata Yesu alikuwa Marioo kwa Magdalena
Muhamadi alikuwa Marioo kwa Bi. Khadija

Kuliko uoe mwanamke asiye na bikra alafu malaya, ni bora uwe marioo.

Waache waje, wanawake weye pesa huwezi waona humu, wao hunifuata inbox
 
Mhhh!,hapo ss ndio tumekuelewa kwahiyo hata manzi ya kutafuna tuhakikishe ni bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…