[emoji16][emoji16][emoji16] huyu dogo ni msanii sana, asikusumbue kichwaHana pesa kumbeView attachment 1587727
Muda nilioutumia kumjibu nimeujutia.[emoji16][emoji16][emoji16] huyu dogo ni msanii sana, asikusumbue kichwa
Wanafunzi wanaosoma kayumba na wanao Soma school bus primary school..wapi wengi..Hawa wazazi wao hawapendani...wanaotibiwa mwananyamala na mahospitali ya Government Tanzania nzima Ni wengi ukilinganisha na private....Hawa hawazai watoto wakawalea...Ina Maana hawana upendo.kwa familia zao?Ndoa zote unazoziona watu walipendana, sasa waulize nini kinachosababisha ugumu ndani ya ndoa?
Akili yako haiwezi kunielewa.
Hujui ndoa ni uchumi
Upendo ni catalyst tuu
huyu bwana mdogo anatafunwa na depression hivo anatafuta faraja bt njia anazotumia kutafuta faraja si rafiki, juzi kaleta uzi kasema alioa 2013 tena bikra bt katika huo uzi wa 2018 anadai alikua hajaoa[emoji16][emoji16][emoji16] huyu dogo ni msanii sana, asikusumbue kichwa
Tena Hawa mwanamke ANAFANYA kazi..yeye anachukua Mshahara wake anaupangia matumizi..Tena anampa hela ya nauli TU kwenda ofisini... Nyingine anaenda kutombea Malaya huko..ambao ndo wanamvutia...Wanaume aina yako ni makupe, hujipendekeza kwa wanawake wenye pesa kwa lengo la kuwanyonya.
Bro tafuta pesa oa mwanamke umpendaye achana wizi wako
Asikuhangaishe, mimi sijambo sijui weweMuda nilioutumia kumjibu nimeujutia.
Hujambo lakini?
Mungu mwema kwanguAsikuhangaishe, mimi sijambo sijui wewe
Wanakuja kukuita Marioo kwa hasira[emoji23][emoji23][emoji23]...Jiandae mzee!!!
Hii haimaanishi Kwamba wewe utafute mwanamke tajiri eti ndo ndoa itakuwa na furaha...yaani mleta mada yeye anasema furaha ya ndoa Ni mwanamke kuwa napesa...hii Ni kweli?Mtoa mada nimekuelewa sana sema hii kauli ya usioe mwanamke maskini wanawake inawachoma sana hasa wadangaji [emoji3][emoji3] kwa hyo defense yao Mara nyingi watakwambia unadanga Mara marioo
Iko hivi nikiwa mwanaume mwenye uchumi wangu mkubwa ni vyema nioe mwanamke ambae ni economic independent
hii ni muhimu kwa ustawi wa familia let say tuna watoto Mara nimekufa ghafla au maradhi yamenilaza sio provider tena kama awali kama haujiwezi in my absence utaleaje watoto ?ndo mwanzo wa malezi mabovu
pia atajitatulia shida ndogondogo lakini haimaniishi Mimi kama mwanaume nibweteke tu no bado mfuko wangu utatoboka kwa ajili yake lazima nijiongeze kiasi kikubwa kama mwanaume sio tajiri ata akiwa tajiri pia sawa lakini anajiweza asiwe golikipa ,mdangaji ,
Nakubaliana na point yako joka jeusi nikiwa kama mwanaume mwenye uchumi wangu stable nitaoa mwanamke wa kuendana na Mimi siwezi beba mzgo baadae ndo mwanzo wa uchawi na ugomvi ,.
Sister karucee hapo juu ameongea point ni vyema sana mwanamke kuwa economic independent , mtaendelea kuwa nyuma mpaka lini ? Pesa za mwanaume zina manyanyaso shtukeni
ajiweze ,sasa kama hutaki kuolewa na mwanaume suruali nani anataka kuoa mwanamke golikipa ,mdangaji ? Mzgo ?
zama za uzuri zishapitwa na wakati , in fact wanaume tuna vitu vingi vya kuangalia mpaka tukuoe sio uzuri .ila mambo niliyozungumzia hapo juu yana matter sana kwa kiasi chake
@Maxence Melo hawaonagi udhalilishsji huu kwa mwanamkeUnafurahi jamaa anavyopiga mashuti ya hasira, Daah
Moderators futeni huu uzi [emoji2221]
Senseless thread again meant to make a woman feel shitty.
1. Virginity
My fellow women, being a virgin should not have an impact on whether someone will date/marry you or not.
We all know that virginity may or may not be lost sexually. And where lost sexually it may be lost with consent or without.
Furthermore, if by consent the one we lose our virginity to may or may not be with us for reasons that nature cannot prevent.
Do ignore the virginity bullshit. Exercise your sexual freedom but with caution having your dignity as a woman in mind.
2. Money
I admire a woman with money. I always cheer inside when a woman does better than me. When a woman drives past in a powerful machine, I tell with delight.
I have said before a woman's insurance is some money of her own against unforeseen circumstances. But don't be fooled into being with a guy who is after your money because you are not a virgin. That is total madness.
You earned your owned money. It may not be much but you pay your bills, you can take yourself to the spa, to dinner and buy your own jewellery without sacrificing your dignity. Spend it wisely.
Life does not end as you get old. Life begins at 40. For the women seeking love after 40. Be wise. Love is there at all ages. Do not buy love. Do not have a scumbag having issues with your virginity like it's a matter of life and death.
Live your life the way you deem fit, just have a clear mind.
Nimemaliza.
@Maxence Melo hawaonagi udhalilishsji huu kwa mwanamke
Malezi mabovu, anamsengenya mama yake na dada zakeHalafu jamaa anatumia maneno makali sana sijui anapata faida gani
Mwambieni huyo..Kwa kifupi wewe ni mwanaume tegemezi, mapenzi hayachsgui kihivyo.
πππππ Woyoooo...muacheni mwenzenu ajifarijikuna mzee 1 aliwahi nambia maskini jeuri hupenda sana sifa kama njia ya kujifariji na stress za maisha hivo sikushangai mleta mada