Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Do ignore the virginity bullshit.

But don't be fooled into being with a guy who is after your money because you are not a virgin. That is total madness.



Life does not end as you get old.

Life begins at 40. For the women seeking love after 40. Be wise. Love is there at all ages. Do not buy love.

Do not have a scumbag having issues with your virginity like it's a matter of life and death.
 
Corporate single ladies are in crisis. Man are after them for their money... They want to drive their cars and enjoy their wealth in the name of love...they want these women to take loans for them...in the name of love and marriage.
 
Sijaoa lakini anayosema mtoa post ni kweli kabisa. Nitakuja kusimulia tukio flani linashabihiana na story kama hizi.
 
Ninao uzuri...Tena Ni mzuri Sana....

Sina pesa...Sina Akili lakini Nina papuchi na Uzuri KUTOKA kwa sir GOd.
Hivi bado kuna wanawake wanajisifia papuchi??🤔🤔 kwahyo hyo papuchi yako inakupa mahitaji yote ya muhm si ndio!! Nina uhakika 💯 ww dada hujaolewa na tatizo lako ni kuwa una mentality ya kipuuzi et nina papuchi tamu?? Hyo papuchi inaweza kuilisha familia, kusomesha watt na kulipa bills?? Mwanamke mweny hekima hawez andika upuuz kama wako!!
 
Ni ujinga kuamini mke huchepuka kwa njaa, wake za matajiri wanaongoza kuchepuka, wansliwa hadi na shamba boy.
Kama mwanamke hana tabia za umalaya na amekulia kweny maadili mema na unampa mahitaj yote muhm, unamjali, unampa mda wako, na unatimiza haja zake za mwili kikamilifu ni ngumu au almost impossible kukusaliti ! Hao matajir wanagongewa cuz kuna kitu kimekosekana na mara nying ni huwa kutokuwa na mda wa kutosha na wenza wao na pia kutowatimizia haja zao za mwili au wameoa wanawake weny chembe za umalaya na kulelewa kweny maadili mabovu!! Mwanamke hakusaliti bila sabab ya muhimu sana unless labda kama ni malaya by nature!!!
 
Kakuita malaya kwasabab umeonesha tabia za kimalaya!!!! Mwanamke anayejiheshimu hawezi tamka eti papuchi ni ya kusuguliwa sana!! tena unasema na mtoto ya mtoto wako itumiwe sana!!! Unaleta picha gan kwa jamii kwa hyo maeneno yako na kizaz cha baadae na ww ni mama mtarajiwa,,, binti wadogo watajifunza nn kutoka kwako kama sio umalaya kutokana na kauli yako!!
 
Mimi sio Malaya hata akiniita a billion times I know myself kwa kweli sio Malaya so haibadilishi lolote na maana hayo maneno hata kwenye khanga yapo, coz I'm not a prostitute so I got chill my a.. down.ni kweli papuchi lazima itumike ndio lengo lake la kuumbwa hizo nyingine mbwembwe tu za waja walioshindwa majukumu ya kuishughulikia effectively.
Mimi hata awe Nani ruksa kufanya analojiskia moyoni kwake kuwa Lina mpa furaha Mimi ni Nani nipangie wengine jinsi ya kuishi badala ya kufanya yangu.
 
Mkuuu...Sijasema Nina papuchi Tamu...Nimesema ninayo...Sasa Kama kuolewa Kama kuolewa ni lazima uwe na papuchi.. Nikikwambia nimesoma na nimeaajiliwa ndo utaona nafaa kuwa mkeo..


Papuchi yangu kwangu Sio mtaji..elewa hilo..Hivyo sitegemei papuchi kuishi ..lakini mtoa mada alizungumzia mwanamke bikra...hii bikra Sio papuchi.
Hi bikra ndo inalea watoto hii bikra ndo inatafuta ugali, hii bikra ndo inalipa bills.

Elewa mada kabla hukakurupuka na comment zako
.
Nimejibu kutokana na bandiko uwe unafuatilia mtiririko wa thread.
 
1.Bikra
2.Pesa
3.Akili

My dear ukikosa sifa 1 kati ya hizo tatu hapo juu,Pita kushoto...

tena pita ukiwa unakimbia mchaka mchaka usinigeuzie sura mimi...

Hata kama una sura kama malaika,shape kama Jambo lotion pita kulee...
 
1.Bikra
2.Pesa
3.Akili

My dear ukikosa sifa 1 kati ya hizo tatu hapo juu,Pita kushoto...

tena pita ukiwa unakimbia mchaka mchaka usinigeuzie sura mimi...

Hata kama una sura kama malaika,shape kama Jambo lotion pita kulee...
Nyie ndo mnaopelekeshwa na upepo wakisulisuli ..yaani hukuwa unajua mwanamke unataka kumuoa...Hadi mleta bandiko aje kukusaidia..

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Subiria mwingine atakuja na bandiko jingine..uongezee kwenye sifa zako.
 
Nyie ndo mnaopelekeshwa na upepo wakisulisuli ..yaani hukuwa unajua mwanamke unataka kumuoa...Hadi mleta bandiko aje kukusaidia..

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Subiria mwingine atakuja na bandiko jingine..uongezee kwenye sifa zako.
👍
 
1.Bikra
2.Pesa
3.Akili

My dear ukikosa sifa 1 kati ya hizo tatu hapo juu,Pita kushoto...

tena pita ukiwa unakimbia mchaka mchaka usinigeuzie sura mimi...

Hata kama una sura kama malaika,shape kama Jambo lotion pita kulee...
noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…