Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Waache watumishi wa Mungu waoe kadiri wapendavyo.
Kama una dada mabikra niletee mimi nitawaoa,usiwalazimishe makuhani mara maaskofu nk.
NB: Wawe na original bikra.


Kwani mimi ndio nawakataza. Huyo wanayemtumikia na kumsema kila siku ndiye aliyewaambia Mkuu
 
hapana, mimi nikichokifanya nikutaka credibility ya hoja yako ndipo nichangie... Tukisha clear hapo ndipo ninaweza kutoa mawazo yangu juu ya hoja hii...


Credibility kwenye sheria ya Mungu Mkuu? Embu kuwa sirius
 
Nao washavunja sheria za kikuhani, Kuhani sharti awe na Mke mmoja tena awe Bikra. Hayo mengine ni mafundisho ambayo si sheria za kikuhani
Anatakiwa aoe ili awe mfano kwa waumini anaowaongoza kwa jinsi aisimamiavyo ndoa na nyumba yake na sio kuishi makanisani peke yako ukitwanga mipombe!!!
 
Anatakiwa aoe ili awe mfano kwa waumini anaowaongoza kwa jinsi aisimamiavyo ndoa na nyumba yake na sio kuishi makanisani peke yako ukitwanga mipombe!!!


Mimi simo Mkuu
 
Nimeisoma ndiyo maana nikakuuliza. Unatakiwa utulie pia unapotoa post zako za umbeya

Shida ni kuwa madarasa ni madogo hivyo hatuwezi elewana. Huoni wakubwa wako wamekaa kimya kutafuta nondo na nukuu wewe unakuja na pumba zako. Mada imekutaka ukija uje na nukuu au aya. Hivyo mpaka kufikia muda huna ukijuacho
 
Achana nae Mkuu, yaani anajidanganya kabisa eti kuna mwanaume anayependa kuwa wapili kwa mkewe wa ndoa. hajui kuwa kila mwanaume hupenda kuwa wa kwanza kwa mke atakayemuoa. Anaongea asiyoyaelewa na anadhani anawaelewa wanaume kumbe anajifariji tuu
Siku nkipata bikra anayejielewa yaan mke wangu nampiga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Bikra ni kapu la ndoa lililobeba mambo yafuatayo;
  • Uaminifu
Ni rahisi kumuamini mwanamke uliyemkuta bikra. Ni rahisi kumtetea kuwa yeye sio mzinzi kwa kuwa ulimkuta akiwa na bikra. Ni rahisi kuweka rehani kwa mwanamke uliyemkuta bikra. Mwanamke mwenye bikra anahaki ya kuaminiwa. Ni halali kumuamini mwanamke mwenye bikra. Mwanamke uliyeitoa bikra yake ukamuoa anakuamini kuliko unavyofikiria.

Huwezi kumuamini mwanamke usiyeikuta bikra. Mwanamke asiyebikra kamwe hawezi kuwa mwaminifu hata angekuwa mcha Mungu kiasi gani. Ikiwa alishindwa kutunza bikra yake kabla ya ndoa atawezaje kuilinda nyeti zake baada ya wewe kumuoa. Mwanamke asiye na bikra kamwe hawezi kukuamini kutokana na kuwa tayari alishatendwa na hivyo anajua kuwa wanaume wote ni sawa.

Ikiwa yeye hakuamini wewe unaanzaje kumuamini?

  • Heshima.
Kuoa mwanamke uliyeikuta bikra ni heshima. Sio tu kwa binadamu hata falme za kiroho. Kizazi chenu kitaheshimiwa hasa na falme za kiroho. Kitakuwa kizazi kisicho za zinaa. Lakini nakuhakikishia kama ulichukua mwanamke asiye na bikra utashangaa unaletewa mimba za watoto wako hata kabla hawajaolewa.
Unao uwezo wa kutangaza kwenye harusi kuwa mwanamke uliyemchukua umemkuta mpya hajatumika. Kisha ukatoa zawadi kwa waliomlea. Bikra ni heshima mpaka kwa wazazi wa mwanamke na jamii kwa ujumla. Mwanamke asiye na bikra sio tuu yeye ndiye anatabia mbaya bali hata waliomlea nao walishindwa kumlea mtoto wao katika maadili mpaka wakakupa litoto lililoharibiwa.

  • Uvumilivu
Mwanamke uliyemkuta bikra kuna uwezekano mkubwa wa kukuvumilia kwa asilimia 90. Kama alivyoivumilia mbo*o wakati ukiitoa bikra yake ndivyo atakavyokuvumilia wakati ukiishi naye. Wanawake wengi walioolewa na bikra ni wavumilivu kwa kila hali. Najua wengi hawajui. Lakini sisi tuliobahatika kuwapata wanawake wenye bikra tumeshuhudia mambo haya. Hata ndoa za zamani wanawake wengi walikuwa wavumilivu kwa sababu wengi wao waliolewa na waliowatoa bikra.

  • Role model
Mke uliyemuoa akiwa na bikra ni role model mzuri kwa watoto. Mke atajua namna ya kuwafundisha watoto wa kike umuhimu wa bikra. Atakuwa na ujasiri wa kuwaambia kuwa Baba yao alimkuta bikra. Lakini ukioa jianamke lisilo na bikra sio tuu umechanganyikiwa bali unaenda kuzaa watoto watakaochanganyikiwa zaidi.
sio ajabu kizazi hiki kila kijana anawaza ngono. Sasa unafikiri atawaza nini ikiwa mama yake alikutwa ni mzinzi. Hakukutwa na bikra. Mwanamke mwenye bikra ni role model mzuri kwa mafunzo kwa watoto.

  • Kuridhika
Mwanamke aliyeolewa akiwa na bikra huridhika na maumbile na mapenzi ya mume wake. Hakuna kibamia ukioa mwanamke mwenye bikra. Lakini ukiona mwanamke anajadili maumbile ya wanaume ujue ameathirika na masuala ya uasherati. Kamwe hutokuja usikie mwanamke aliyeolewa bikra akiongea kauli za hovyo. Sijawahi kuona.

Mwanamke ni kiumbe mzuri sana akikutwa na bikra. Kabla hajaharibiwa na mashetani. Wanawake wanaridhika ikiwa utawaoa wakiwa bikra

  • Usikivu na Utii
Mwanamke uliyemuoa akiwa na bikra lazima atakusikiliza na kukutii. Hawezi kukudharau. Hawezi kufundisha watoto upuuzi wa kukupuuza. Lakini ukioa mwanamke asiye na bikra lazima atakudharau. Atakuona wewe ni mtu wa makombo. Mtu usiyeweza kuchukua vitu vipya. Mbaya zaidi ukitaka uharibu kabisa. Mpende sana ndio utakiona cha mtema kuni. Jinsi unavyozidi kumpenda ndivyo anavyozidi kukudharau. Lakini mwanamke uliyemkuta bikra jinsi unavyompenda ndivyo unavyozidi kuuteka moyo wake.

Usishangae kwa nini mwanamke unalihudumia bado halikuheshimu, linakudharau, linachepuka na kukutungia majina ya hovyo. Usishangae mpaka majina ya hovyo liliyataja mbele ya watoto wako. Ndio madhara ya kuchukua vitu vilivyooza, kuchukua mitumba. Wewe uliona wapi mla mizoga akiheshimiwa, hata viumbe wanaokula mizoga huoni majina yao na jinsi wanavyodharaulika.

Wakati mwingine mwanamke ambaye hana bikra anatamani akuheshimu lakini nature haimruhusu. Lazima atajikuta anakudharau tuu. Atakuheshimuje ilhali umemchukua hana bikra. Nature italazimisha udharaulike.

  • Kumbukumbu
Mwanamke mwenye bikra atatunza kumbukumbu isiyofutika. Hata ufe leo atakukumbuka miaka yote. Ukioa mwanamke mwenye bikra wewe ndio unaandika historia ya mapenzi katika maisha yake. Hana kumbukumbu ya zamani kwani wewe ndio wa kwanza. Wewe ndio mwalimu wake utakayemfundisha kusoma. Hatasahau irabu na konsonanti utakazo mfundisha mpaka mwisho wa maisha yake.
Lakini ukioa hawa madunga embe utaumia. Unaenda kufundishwa historia ya mwanaume mwenzako. Mara mbona mwenzako alikuwa anapiga vitatu kwa mpigo. Mara mbona mwenzako alikuwa akinibeba au kunipa hela. Yaani utalinganishwa na Ex wake kwa kila kitu.

  • Kuwekeza na Siri
Mwanamke aliye na bikra huwekeza moyo na mali kwa mume wake. Atakupa mapenzi yote na mali zake zote. Mtashare kila kitu. Waliowahi kuwa na wanawake wenye bikra wataungana na mimi kuwa mwanamke aliyetolewa bikra sio mbinafsi. Mnashare mali zenu ila hiyana. Lakini hawa mashankupe utasikia chake ni chake, na chako ni cha wote. Hao ndio unashangaa linajenga nyumba kwao kisiri wewe huna ujualo. Wanawake walioolewa na bikra hawana siri. Watakuambia kila kitu chao.

  • Kujiamini
Mwanaume akioa mwanamke mwenye bikra anajiamini mara elfu moja tofauti na yule aliyeoa mwanamke asiye na bikra. Mwanaume ukioa mwanamke mwenye bikra hata ukienda ukweni hunawoga. Unajua kabisa mtaani hapo hakuna anayemjua mke wako kwa kuwa ulimkuta bikra. Lakini ukioa asiye na bikra huwezi kujiamini. Unaweza kwenda ukweni hata uwe na gari kali sijui BMW X6 bado utakuwa hujiamini ukipita na mke wako. Kwanza utajiaminije wakati huenda kuna mwanaume mwenzako anakucheki tuu unavyotembea na gari lako wakati mkeo wanamjua enzi hizo akiwa ua saa sita.

Alafu mbaya zaidi siku mkeo akienda mwenyewe kusalimia kwao hapo ndio huenda kucharazwa na ma- Ex wake. Nani asiyejua kuwa wanawake wengi walioolewa wanato*ombwa wakirudi kwao kwenye misiba au harusi za ndugu zao. Huchapwa na wapenzi wao wa zamani. Nani asiyelijua hilo.

Najua kuna watu watakataa jambo hili. Lakini wataonekana ni wajinga kwa sababu ikiwa ulimkuta mkeo hana bikra kwa nini upinge jambo hili. Utamuamini kwa kipi. Nini kinakufanya umuamini mkeo ikiwa hukumkuta bikra.

Bikra ndio alama ya uaminifu kwa mwanamke. Maneno ya mwanamke hayamfanyi mwanaume mwenye akili kumuamini mke wake ikiwa hakumkuta bikra.

Mimi mke wangu hata kama nikisikia anatoka na fulani sitaamini miaka mia mpaka nimfumanie kwa kuwa nilimkuta bikra. Bikra yake ndio inambeba. Lakini kama hana bikra hata nisipoambiwa anachepuka mimi nitajua anachepuka kwa vile sikuikuta bikra.
Mwanamke asiye na bikra hata nikimsingizia kuwa kuwa anachepuka hana uhalali wa kunipinga ikiwa sikuikuta bikra. Lakini mke wangu nitamwambia akatae mara mia kuwa hachepuki mpaka nimfumanie kwa vile niliikuta bikra.

Nitamsamehe mwanamke niliyeikuta bikra kwa vile nitajua kuwa ameteleza na wala sio tabia yake. Lakini jitu sikulikuta bikra bado liniambie limeteleza hiyo sasa ni dharau.

Kwanza lilinidharau kunipa bidhaa iliyotumika. Alafu leo tena liniambie imenywewa bahati mbaya.

Mwisho; Natoa wito kwa vijana ambao hawajaoa kuwa usijeoa mwanamke asiye na bikra. Oa mwanamke mwenye bikra. Utakuja kunishukuru badae. Achana na porojo za watu humu hasa wanawake kuwa ati bikra haina uhusiano na tabia. Mwanamke atakayekuambia hivyo mwambie sharti awe nayo kwanza hiyo bikra ndio umskilize. Ukitaka ndoa iwe ndoano basi oa pagama. Ukitaka gari likusumbue nunua gari used. Mpya ni mpya tuu.

Kwa wale mliooa pambaneni na hali zenu.

JokaJeusi.
Mpiga kampeni wa kurudisha heshima ya ndoa kwa kuwamahasisha watu watambue thamani ya bikra

Michango:

Mwanamke mwenye bikra ndio uoe. Ndio umpende. Huyo ni wako. Huyo ndiye mke wako.

Huyo mwenye bikra ukimpata. Msamehe hata kama ukimfumania.

Mwanamke mwenye bikra huyo ndio ubavu wako. Huyo ndiye mwenye heshima yako.

Hao wengine ni nguo ya mtumba. Ilishavaliwa na wengine. Inamakando kando ya wengine.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kukufanyia hayo.

Bikra oooh! Bikra ndio wimbo wangu kwa vijana.
Tafuta bikra uoe.

Ukipata bikra usiiharibu kama huna mpango wa kuoa.

Haribu vilivyoharibiwa.

Fanya mapenzi kiholela na walioharibiwa. Kilichoharibiwa ni halali kuharibiwa.

Kipya ni halali kutunzwa na kuheshimiwa.

Haya tuyie shime. Himahima tukaharibu vilivyoharibiwa.

Tuvitunze vilivyojitunza.

Takataka hutupwa Dampo. Hufagiliwa. Twendeni tukafagie takataka.

Vijana nisikieni. Gari jipya hujifunzi nalo udereva. Magari machakavu ndio ya kujifunzia. Gari mpya ni mwanamke mwenye bikra. Kamwe usijifunzie mapenzi kwake. Usije ukamuumiza.

Mwanamke asiye na bikra huyo ni gari chakavu. Ni ruhusa kujifunzia udereva. Haya ukiligonga kwenye mti ni sawa kwa maana ni gari lililochakaa.

Vijana hima hima

Jokajeusi,

Wewe kweli hujielewi...unaongelea uwepo wa "SHERIA" halafu wakati huo huo hutaki kutambua usawa kati ya mwanaume na mwanaume. Sheria hizo unazozitaja zinatoa nafasi ya namna fulani ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke.

Kama mwanaume huwezi kuwa unapigia kelele juu ya umuhimu wa wanawake kuwa bikra halafu wakati huo huo unashinda mtaani ukitongoza dada za watu na kuwatoa bikra. Hoja ya bikra hapo inakuwa inakosa mashiko, yaani wazungu wanasema ni "CONTRADICTION".

Kama bikra ni muhimu sana kwenye ndoa basi wewe kama mwanaume unapaswa kuwa sehemu ya kuilinda. Najua hutakubaliana na hoja hii kwa sababu tu ya mfumo dume ambao umekulea ambao sehemu kubwa unakandamiza nafasi ya mwanamke kila wakati, kwamba mwanamke ni raia daraja la pili.

Bikra haina umuhimu kiasi hicho. Wewe kama unataka kuoa utaoa, muhimu ni mwanamke na mwanaume kutunza kiapo chao baada kuoana, kuendelea kuwa waaminifu.

Ila hoja kwamba mwanamke akiolewa bikra sijui ni heshima sijui kajitunza ni upuuzi. Mwisho wa siku mwanamke naye ana matamanio na hamu kama wanaume kwa hiyo akipata mtu wacha naye abanduliwe, akitaka kutobanduliwa basi nayo kheri.
 
Back
Top Bottom