Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bikra Matters
Bikra for marriage

Malaya wasubiri siku nikijiua.

Siwezi oa mwanamke malaya, asiye na bikra dunia ingalipo. Na hata nikioa atafukuzwa akifanya umalaya wake. Ila siwezi ruhusu mtoto wangu apite njia iliyonajisiwa na mwanaume mwingine.

Sawa na hongera kwa kuwa Mwanaume wa kwanza na wa kipekee, labda na wewe ulipita kama mtoto wako pia who knows? Sisi wengine hatujali maisha yenyewe yako wapi?
 
Hahahah hajui mwanamke ni kitu gani 😂😂😂

Mwanamke huyu huyu!

Naelewa ninachokizungumza. Mwanamke malaya ndio hawajulikani kutokana na tabia zao za kihuni, mara leo alale na mzee, kesho na Kijana, kesho kutwa na mbwa, kesho kutwa na chokoraa. Lakini mke mwema mwenye bikra yupo sytematic
 
Kuna rafiki yangu alioa mwanamke kisa tu alimkuta bikra, na alitumia gharama zaidi ya million 32 na baada ya miaka 2 ndoa yao ilivunjika,
Yeye ni mtu wa kusafili na magari makubwa kwenda nchi mbalimbali ,kumbe huku mke amepata wajanja wanampa mautundu ambayo hayapati kwa jamaa na ndoa ikaishia hapo.
Tumuache kwanza, naona ulanzi wa mahaba umemkaa pazuri. Cha kumsihi tu ahakikishe hamuachi mkewe popote aendapo kikazi esp. uhamisho wa kimkoa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa na hongera kwa kuwa Mwanaume wa kwanza na wa kipekee, labda na wewe ulipita kama mtoto wako pia who know? Sisi wengine hatujali maisha yenyewe yakowapi?

Nafahamu mifumo ya kdunia kwa sasa kwa makusudi inalenga kufanya kizazi hiki na kijacho kiwe kisichojali. Na ndio maana kinaendekeza mambo ya ajabu. Ati mtu aoe mwanamke asiye na bikra, alafu baadaye akimfumania ampige, hahahah! Hiko si kichekesho. Wewe umemkuta hana bikra, hukujua ndio tabia yake.

Watu wabadilike, waliooa wanawake wasio na bikra wasiumie moyo, na ninyi msiwafanyia uhuni wenu
 
Unawazungumzia vip wenye bikra za mbele lkn nyuma marinda hamna?,sababu zipo Baadhi ya sehemu mabinti wanatunza kweli bikra zao ila huko nyuma wanaachia mzigo
 
Kuna rafiki yangu alioa mwanamke kisa tu alimkuta bikra, na alitumia gharama zaidi ya million 32 na baada ya miaka 2 ndoa yao ilivunjika,
Yeye ni mtu wa kusafili na magari makubwa kwenda nchi mbalimbali ,kumbe huku mke amepata wajanja wanampa mautundu ambayo hayapati kwa jamaa na ndoa ikaishia hapo.

Ndio maana nikasema 10% percent sasa huelewi nini?

Angalia walioa wasio na bikra, kila siku vurumai humu Jf, huku mitaani yaani tafrani
 
Kuna rafiki yangu alioa mwanamke kisa tu alimkuta bikra, na alitumia gharama zaidi ya million 32 na baada ya miaka 2 ndoa yao ilivunjika,
Yeye ni mtu wa kusafili na magari makubwa kwenda nchi mbalimbali ,kumbe huku mke amepata wajanja wanampa mautundu ambayo hayapati kwa jamaa na ndoa ikaishia hapo.
Hilo ndo kosa kubwa, mwanamke utakiwi kumuacha mpweke.

Halafu kupata mwanamke muaminifu ni swala la bahati sana maana hata malaya walizaliwa na bikra.

Unaeza otea bikra ila beki hazikabi hawezi vumilia utamu wa mti mnyama hata kwa siku 3 lazma achuruzishwe maji!🤣🤣🤣
 
Una obsession Sana na bikra, na ambao hawana nao mwanzo walikuwa mabikra, hata kuomba kazi hutaka mwenye experience same applied na bikra hajui lolote ukimuoa ndani ya ndoa ataanza kutafta new taste.
 
Kuna wengine wametolewa bikra na ufanyaji wa kazi ngumu au michezo ya kuendesha baiskeli wakiwa mabinti wadogo nk nk.

Hawa unawaweka katika kundi gani?
 
endelea kujidanga bt kwa mbali bandiko lako linanukia kaharufu kakujifariji na stress za maisha, mimi nimeoa mke bikra bt siwezi jisifia ujinga coz nawajua wanawake wa zama hizi

Nani kajisifu, nimeongea ukweli na kuwaasa wasiooa watafute wanawake bikra. Ili wafurahie maisha kama mimi.

Wapi sijaeleweka?
 
Una obsession Sana na bikra, na ambao hawana nao mwanzo walikuwa mabikra, hata kuomba kazi hutaka mwenye experience same applied na bikra hajui lolote ukimuoa ndani ya ndoa ataanza kutafta new taste.

Kutafuta taste ni tabia za mwanamke malaya, Mimi ninasema jambo nililolifanyia utafiti, wewe unaongea kujifariji humu.
 
Back
Top Bottom