Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi wanayoyaongea wadau humu ni ya kweli?
Sasa kinachokuuma ni nini tukiwasema manungayembe wenzio?Tayari nimeshafikia wala sio kukaribia tena
KIU Mbeya boy?Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
Biblia au Koran inasemaje kuhusu kuoa nungayembe?Wanaume waliokamilika wanaoa hata MTU mwenye sifa kama za mama yako(mwenye mtoto wa umri wako na kaka na wadogo zake) na anatulia kwenye ndoa na watoto wote wanapata mahitaji yao.
Mwanaume asiyekamilika ndo chaguzi nyiiingi kama hizo za kuogopa watoto.
Mchafu Ni kwajili ya mchafu mwenzake.Biblia au Koran inasemaje kuhusu kuoa nungayembe?
Biblia au Koran haijasema kazi ya kuhukumu ni yako. Wewe oa bikra kazi ya hukumu kwa waliofanya makosa mwachie MUNGU. Wanaume wa kuoa wanawake waliopata watoto iwe waliwapata kwa tabia za kihuni au kwa kutelekezwa wapo na wataendelea kuwepo regardless ya inspiration speech za kuwahimiza wasifanye hivyo.Biblia au Koran inasemaje kuhusu kuoa nungayembe?
Kuoa nungayembe miaka hii inayoanza na 2 ni utahira na huyo so-called mwanaume ni lazima ana mapungufu!Biblia au Koran haijasema kazi ya kuhukumu ni yako. Wewe oa bikra kazi ya hukumu kwa waliofanya makosa mwachie MUNGU. Wanaume wa kuoa wanawake waliopata watoto iwe waliwapata kwa tabia za kihuni au kwa kutelekezwa wapo na wataendelea kuwepo regardless ya inspiration speech za kuwahimiza wasifanye hivyo.
Sasa yaoane menyewe kwa menyewe.Mchafu Ni kwajili ya mchafu mwenzake.
Mchafu Sio lazima aliezalie na kuzalishwa..Sasa yaoane menyewe kwa menyewe.
Ulizalisha kaoe mzalishwa!
hahahahaaaaaaaaaaMwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Nungayembe maana yake nn? Ukute hatuelewani.Kuoa nungayembe miaka hii inayoanza na 2 ni utahira na huyo so-called mwanaume ni lazima ana mapungufu!
Hivi mnajua kweli ni kiasi gani manungayembe wametumika?
AgreedNasimama na paragraph ya kwanza! Uko sahihi sana Chief(my perception!)
Paragraph ya pili; Tujiongeze ! (Lisemwalo tuongeze na letu!!) hasa la Kuzaliwa!!
Binaadam hakuumbwa mshenzi ama mjinga!!
#RealPetceptionIsAChoice!
Wahenga tu ndio wanajua maana ya hilo neno!Nungayembe maana yake nn? Ukute hatuelewani.
Mwanamke aliyezalishwa na hakuolewa huyo ni mchafu.Mchafu Sio lazima aliezalie na kuzalishwa..
Bali mzinifu.... Na mzinifu mwenzake....U dig?