Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanaume waliokamilika wanaoa hata MTU mwenye sifa kama za mama yako(mwenye mtoto wa umri wako na kaka na wadogo zake) na anatulia kwenye ndoa na watoto wote wanapata mahitaji yao.

Mwanaume asiyekamilika ndo chaguzi nyiiingi kama hizo za kuogopa watoto.
Biblia au Koran inasemaje kuhusu kuoa nungayembe?
 
Joka jeusi...hatukatai ushauri wako...Ila wote hatuwezi kuwa chama kimoja...HAIWEZEKANI KABISA. Wote hatuwezi penda unavyopenda wewe..

NENO LAKO SIO SHERIA. hata sheria huvunjwa pia.
 
Biblia au Koran inasemaje kuhusu kuoa nungayembe?
Biblia au Koran haijasema kazi ya kuhukumu ni yako. Wewe oa bikra kazi ya hukumu kwa waliofanya makosa mwachie MUNGU. Wanaume wa kuoa wanawake waliopata watoto iwe waliwapata kwa tabia za kihuni au kwa kutelekezwa wapo na wataendelea kuwepo regardless ya inspiration speech za kuwahimiza wasifanye hivyo.
 
Kuoa nungayembe miaka hii inayoanza na 2 ni utahira na huyo so-called mwanaume ni lazima ana mapungufu!

Hivi mnajua kweli ni kiasi gani manungayembe wametumika?
 
Nasimama na paragraph ya kwanza! Uko sahihi sana Chief(my perception!)

Paragraph ya pili; Tujiongeze ! (Lisemwalo tuongeze na letu!!) hasa la Kuzaliwa!!

Binaadam hakuumbwa mshenzi ama mjinga!!

#RealPetceptionIsAChoice!
Agreed
 
Back
Top Bottom