Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

KAMUULIZE MAMA YAKO AKUPE SOMO ZURI KUHUSU YUPI ANAFAA KUOA! INAONEKANA BADO HUJAKUA KIAKILI....TRUMP MWENZAKO KAOA KAHABA NA DUNIA INAJUA, AMEKWENDA NAE IKULU, THE SAME TO OBAMA. VIPI WEWE? ACHA CHUKI NGOJA UKUE
 
Eeeh nilikumiss jamani mweeh.

So hapo mwishoni ni sawa nikisema pia kuwa "kuolewa na single dad ni kuolewa na mume wa mtu. His first baby momma will always come first before you." Au huku kiumeni hali inabadilika?
Eeeeh.. nilikumisa mrembo, yaani hata huku mtaani nikionaga mjadala Kama huu huwa nawakumbuka wewe na karma.. hahaha.

Ebana hii ukiigeuza upande wa pili, impacts haiwezi kuwa the same mama.

We differ a lot, ni ngumu sana kwa mwanaume kukataa kuzaa na mwanamke aliyemuoa kwa kisingizio cha kutochanganya damu au kisa tayari umewahi kuzaa na mwanamke mwingine

Hicho kisa nilichokileta kinaelezea ubaguzi,dharau na unyonyaji wa mwanamke aliomfanyia ndugu yangu. Ni lini uliwahi kuskia mwanaume anamjali na kumuheshimu zaidi ex wake aliyemzalia kuliko mwanamke wake anayeishi nae ndani?
 
Eeeeh.. nilikumisa mrembo, yaani hata huku mtaani nikionaga mjadala Kama huu huwa nawakumbuka wewe na karma.. hahaha.

Ebana hii ukiigeuza upande wa pili, impacts haiwezi kuwa the same mama.

We differ a lot, ni ngumu sana kwa mwanaume kukataa kuzaa na mwanamke aliyemuoa kwa kisingizio cha kutochanganya damu au kisa tayari umewahi kuzaa na mwanamke mwingine

Hicho kisa nilichokileta kinaelezea ubaguzi,dharau na unyonyaji wa mwanamke aliomfanyia ndugu yangu. Ni lini uliwahi kuskia mwanaume anamjali na kumuheshimu zaidi ex wake aliyemzalia kuliko mwanamke wake anayeishi nae ndani?
Ahhahaha unatukumbuka wabishi wenzio, sio eeh?

Labda useme hiyo kwamba wanaume hawawezi kukataa kuzaa na wake zao kisa baby mommas.

Ila wapo wanaume kibao wanaojali zaidi baby mommas kuliko wake zao au kuwatreat equally. Tena usiombe ukute wana watoto labda wawili na baby momma hajaolewa bado; mbona baby momma anakuwa kama mke aliyepo tu mbali. So unaweza ukaolewa na baby dad na mkazaa, ila akaendelea kuzaa pia na baby momma. Kuna baby mommas wana akili za kuwatumia watoto vizuri, mume wako atakuwa mume wenu. Kuna baby daddies wanaenda tu kuoa kwingine ila mioyo yao ipo kwa baby mommas wao: baby momma asikohoe tu bwana ashashtuka; mtaishi kwa huruma ya baby momma: kuna ndoa baby momma ndiyo anashikilia remote aisee

.Kwa wanaume, ni kama tu mnakuwa mitala na baby momma. Na mahusiano mengi ya wazazi wenza huwa yanaisha kabisa kama baby momma akiamua otherwise ndoa inakuwa chungu. Wanaume wengi wakioneshwa tu upaja na baby momma shughuli imekwisha, kanaongezwa katoto kengine. Wanaume wachache sana wanaweza kusimamia misimamo yao kama Mh Sugu kwa Faiza
 
Nafikiri suala zima la kutunza mwenza kati ya ME na KE lina uhusiano wa karibu sana na hisia.

Mwanaume kumjali zaidi baby mama kuliko mke wake anayeishi nae ndani linawezekana kabisa, Ila mara nyingi hii ni pale ambapo mwanaume huyo anakuwa bado hajaongeza familia ndani.

Mwanaume anamjali mwanamke wake wa zamani kupitia mtoto, sasa kama hata huku ndani akipata mtoto na mwanamke anayeishi nae, ni nadra sana kuendelea kumjali mwanamke wake wa nje kiasi cha kuathiri familia yake anayoishi nayo ndani maana automatically atajikuta anaongeza juhudi za kuitunza familia yake ya aliyonayo karibu.

Sikatai kwamba wanaume wanaoendelea kujali zaidi ma baby mama wao kuliko wake zao hata baada ya kuongeza familia zao ndani hawapo, wapo sana lakini ni kwa kiasi kidogo Sana.

Na pia fahamu sometimes mwanaume anaongeza mtoto na mwanamke wake wa nje kutokana na matanio tu Kama unavyosema hapo(tukioneshwa tu upaja).

Huwa nashindwa kuelewa inakuaje mwanamke uliyekwisha achana nae una mruhusu anakuvunjia ndoa yako kisa tu eti una mtoto na yeye na unawajibika ipasavyo. Kuna mambo nafikiri yanahitaji mtu uuvue ubinadamu na kuvaa roho nyeusi ya ibilisi ili kuyapeleka kwa urahisi zaidi, yule faiza pamoja na kwamba Sugu alimuweza lakini naona Kama alienda nae kidiplomasia Sana angekutana na vichwa angeomba poo mwenyewe.
 
This is a naked Truth,.mi nliliona hili mapema nikaamua kujiongeza kwa mwanamke mwingne
 
kama ulibahatika kukua kwenye uwepo wa mazingira ya wazazi wote wawili sema alhamdulillah
na kama umekulia malezi ya single mama mpaka ujanani bila kujua sababu ya utengano wa wazazi sema vivyo hivyo alhamdulillah
 
Ndiyo nyota yake hiyo, aliumbwa ili kuwapoza walioachwa na kuwarudisha ndoani
Acha kabisa mpaka muda huu wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni, Kuna watu hata wapatwe na maswahibu gani huwambii kitu kwa single mothers.
 
Habari Wakuu!

Tangu nijiunge humu JF nimekuwa nikiwapigia chapuo wanawake wenye bikra ndio wake bora.

Asilimia 90% ya wanaume tuliooa wanawake wenye bikra hatuna kesi za ajabu ajabu ndani ya ndoa. Wanawawe sio malaya, wanaadabu, hawana tamaa ya hovyo hovyo. Wakati 10% iliyobakia ya waliooa wanawake wenye bikra wanapata mikasa na vitimbwi vya ndoa.

Hii ni tofauti na wale wenzangu na miye waliooa wanawake wasio na bikra ambao 90% wanahenyeka, wanaipata fresh ya shamba. Huku 10% ndio wakineemeka.

Wakati 99% ya wanaume waliooa single mother wakiiona dunia jehanamu, ndoa chungu na maruweruwe. Huku 1% ya wanaume waliooa single mother ndio wakienjoi.

Sisi tuliooa wanawake wenye bikra mpaka hivi leo tunapeta na wengi tunaenjoi maisha.

Faida ya kuoa mwanamke mwenye bikra

1. Hawezi kukuona kibamia
2. Kiroho mnamafungamano
3. Mtazaa kizazi kisicho cha zinaa tofauti na kuoa mwanamke ambaye tayari ameshafanya uzinzi. Ambapo mtoto wako atapitia kwenye uke ulionajisiwa na wanaume wengine na kumwagiwa manii zingine.

4. Heshima na adabu
Siku zote mwanamke anayekuheshimu atakupa kitu kipya na sio mtumba. Wanawake wa siku hizi wanawadharau wanaume kwa sababu wanaume wengi siku hizi wameamua kula makombo, kula mtumba. Mwanamke hawezi kukuheshimu ikiwa ulimuoa akiwa hana bikra. Hata Mungu mwenyewe hapendi makombo, Mungu kumpa sadaka au zawadi used ni kama umemdharau. Ndio maana akawaambia hata watu wake waoe wanawake bikra, ili wasijitie unajisi wao na kizazi chao.

5. Ukioa Bikra huwezi pata sijui mwanamke aliyetoa mimba, sijui aliyezaa.
Siku hizi wanaume wanaoa wanawake wauaji bila ya wao kujua. Unakuta unaoa jianamke lisilo na bikra kumbe tayari limeshaua watoto kwa kutoa mimba nyingi tuu. Sasa njia bora kuzuia mashaka hayo ni kuoa mwanamke bikra.

6. Mwanamke hatakuwa na Kumbukumbu za Ma-ex wake
Ukioa mwanamke bikra huna wasiwasi, unajiamini kwa sababu wewe ndio wa kwanza. Huwezi linganishwa na mwanaume mwingine kwa sababu hakuna wa kulinganishwa naye. Ila ukioa mwanamke asiye na bikra ni lazima afanye ulinganisho baina yako na wanaume waliompitia. Siku zote awali ni awali. Na siku zote upendo wa kwanza ndio upendo halisi.

Nafahamu mada hii itawaumiza wanawake wengi ambao hawana bikra na hawajaolewa, au waliombioni kuoa mwanamke ambaye hajamkuta bikra. Lakini huo ndio ukweli. Wewe kama huna bikra au uliolewa bila bikra na ukaolewa na mwanaume mwingine ambaye hajakutoa bikra basi tambua wewe ni malaya.

Sisemi malaya wasiolewe, ila lazima mtu kabla hajaoa atambue kuwa changamoto za kuooa malaya ni zipi.
Siku hizi watu wanakuambia ndoa ndoano, au ndoa uvumilivu moja ya sababu ni kuoa wanawake wasio na bikra. Kuoa mwanamke asiye na bikra yataka moyo. Yaani unaoa mwanamke ambaye unafahamu fika kuwa mwanamke huyu ni malaya yaani tayari keshalala na mwanaume mwingine. Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra jiulize utaweza vumilia changamoto za malaya?

Ni tofauti na sisi tuliooa wanawake bikra ambao kimsingi tunakuwa waalimu wa wake zetu tukiwafundisha kila mazuri na mabaya. Lakini unapooa mwanamke asiye na bikra basi tambua yale aliyojifunza kwa waliomtoa bikra basi anakuja ku-apply kwako.

Wakuu bikra zipo, mabinti wapo kibao wenye bikra, acheni kusema bikra hakuna, bikra zipo nyingi kidato cha tano, cha sita, chache zipo chuo.

Nafahamu kuna bikra za kutengeneza, lakini mwanamke bikra hata akili yake huwa bikra hilo ni muhimu.

Bikra matters!

Povu Ruksaa

Mkuu jipoze na Altar Wine nakuja kulipa.
 
Back
Top Bottom