Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu utajuaje binti ni bikra maana siku hizi watoto wadogo tu tayari wafuska nuksi! Ina maana inabidi umuonje kabla hujamuoa sio?Siwezi ruhusu hata rafiki yangu aoe mwanamke asiye na bikra, sembuse dogo tumbo moja
Mkuu mimi napita hapo Kibosho kwa mama yangu natokea himo...naelekea Arusha nyumbani kwaajili ya sikukuuMpo poah wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu..
Tumerudi nyumbani, Moshi kama ilivyo ada, kwa wakazi wa moshi mjini, Nipo hapa Kibosho Road. Mimi ndio nilikuwa wakwanza kuja moshi kabla ya dogo ambaye amekuja jumapili ya wiki hii.
Sasa juzi jumanne Dogo katuweka kikao, akatuambia amepata mchumba na anafikiri kuwa huyo ndiye mke wake. Tukafurahi, Dingi akaagiza kreti ya bia ili kikao kikamilike.
Mama na Baba waliuliza maswali yote ya msingi kumhusu huyo mchumba wake, Dogo akayajibu vizuri sana, Wazazi walifurahi mno.
Kikao kilikuwa na watu kumi. Baba, Mama, ndugu zangu wanne, yaani mimi, kaka yangu, dada, na huyo dogo wetu wa mwisho mwenye mchumba, Baba mdogo na mke wake na watoto wadogo wawili wa baba mdogo.
Kwa vile ndugu zangu wakubwa wako bize, nikateuliwa mimi ndio siku yakwenda kutoa mahari basi mimi niwe bega kwa bega na dogo. Dogo alifurahi ukizingatia mimi naye tumenyang'anyana ziwa na tunapenda kichizi.
Katika hali isiyotarajiwa, hali ikavurugika, kutokana na swali langu nililouliza, Niliuliza hivi; Huyo mchumba wako ni bikra? Kama ni bikra nitaenda na wewe kutoa mahari, kama sio tafuta mwingine wakuenda naye.
Kauli hiyo ilileta ukimya kisha,kilichiofuata ni kelele kutoka kwa Dogo, kikao kikagawanyika katikati, wapo walioniunga mkono akiwepo Baba, Mama yangu, na Dada yangu, lakini Kaka Mkubwa, Baba mdogo na mama Mdogo wakaungana na Dogo.
Siku ikaisha, dogo akaondoka nyumbani akaenda kwa Baba Mdogo Anakaa Majengo.
Jana jioni karudi, amenuna mno, hataki kuongea na mtu. Nikamuita, tukazungumza kwa kirefu kama lisaa na nusu. Mbaya zaidi ananiambia huyo mrembo anamtoto mmoja. Hapo ndio nikawambia kabisa sio kwenye mahari tuu sitaenda,, hata kwenye harusi yako sitakuja, na wala sitakuja kwako kabisa, na wala usinihusishe na mambo ya nyumba yako.
Aliponiuliza kwa nini, nilimuelezea sababu nyingi sana, tuliongea mpaka saa sita za usiku
Leo asubuhi wakati tunapara kifungua kinywa, alizungumza maneno mafupi sana.
" Naombeni mnisamehe. Nimewaelewa"
Sikukuu ndio kesho, familia imeamua hakuna wakupinga.
Jokajeusi
Hujamuelewa mleta mada, inawezekana Dogo alijua hayo yote na hakusema na pia hakujua msimamo wa huyu kaka yakeAlafu hii ni story ya kutunga tu
Sasa huyo mdogo wako awe na mahusiano na huyo msichana mpaka wafikie hatua ya kufunga ndoa, asijue kuwa huyo msichana ni singo maza.
Je huyo mdogo wako nae ni bikra?
Kama na yeye alishat*mb watoto wa Watu na kuwaacha, leo hii aanze lilia bikra?
Sasa mkuu utajuaje binti ni bikra maana siku hizi watoto wadogo tu tayari wafuska nuksi! Ina maana inabidi umuonje kabla hujamuoa sio?
😂😂 AiseeeWewe jamaa ni lofa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati dada zako siyo bikira na wataolewa/waliolewa
2.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako ni vinara wa kuharibu na kuchafua mabinti za watu na huenda huwa mnakula mpaka tigo kabisa.
3.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako siyo mabikira.
Kwa kifupi ulichoshauri ni non-sense,wewe pamoja na hao waliokuunga mkono ni mapunguani!
Dogo alishindwa nini kusema huyo mchumba ni bikta? Mbona sioni utata.
😄😄Acha tu mkuu siku hizi hawa watoto wanajua mambo kuliko hata tulioanza liona juaHahaha kwamba siku hizi vitu used ni vngi kiasi vinnafanana na vipya?
Unamuuliza wewe ni bikra, mcheki usoni, akikuambia ndio, mwambie nikaone, akikataa piga chini, akikubali kakague mali,
Hata zamani uiruhusiwa kukagua,
KItu kama sio bikra unarudishiwa kila kitu, na fidia juu
Mimi juzi nimemtoa bikira mtoto mwenye miaka 18 na nikamwambia kuwa aende zake,sasa nitakujaje kukataa kuoa mke ambae hana bikira?!Huu si utakuwa ni upunguani?😂😂 Aiseee
Kaka yake angesema wakathibitishe.Dogo alishindwa nini kusema huyo mchumba ni bikta? Mbona sioni utata.
Wewe jamaa ni lofa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati dada zako siyo bikira na wataolewa/waliolewa
2.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako ni vinara wa kuharibu na kuchafua mabinti za watu na huenda huwa mnakula mpaka tigo kabisa.
3.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako siyo mabikira.
Kwa kifupi ulichoshauri ni non-sense,wewe pamoja na hao waliokuunga mkono ni mapunguani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa banaHahaha kwamba siku hizi vitu used ni vngi kiasi vinnafanana na vipya?
Unamuuliza wewe ni bikra, mcheki usoni, akikuambia ndio, mwambie nikaone, akikataa piga chini, akikubali kakague mali,
Hata zamani uiruhusiwa kukagua,
KItu kama sio bikra unarudishiwa kila kitu, na fidia juu