King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Kwakweli haya mambo kikubwa amani na upendo...hayo mengine siri ya kambi😂😂Hatari sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli haya mambo kikubwa amani na upendo...hayo mengine siri ya kambi😂😂Hatari sana mkuu
Haya mambo mazito sana mzee...kama unabeti vileKwakweli haya mambo kikubwa amani na upendo...hayo mengine siri ya kambi
Mimi natafuta pesa nioe wanawake wanne Sasa apo Kwenye wanne nikosa bikra Basi tena...haikuwa tena ridhiki yanguHaya mambo mazito sana mzee...kama unabeti vile
Maisha yana mambo sana mkuu...waweza kosa wote au ukapata woteMimi natafuta pesa nioe wanawake wanne Sasa apo Kwenye wanne nikosa bikra Basi tena...haikuwa tena ridhiki yangu
Kamwe katu sioi single maza bora nioe kitoto kidogo ama tasa ila sio single mama wapuuzi sana.Maneno makali sana hayo mkuu. Inamana ikitoka umependana na Single Ma na akikuomba umsitiri utamkatalia? Hata awe mzuri kama Joketi?
Duh. Ila hii ni msg muhm kwa single mazaz waache upuuzi wao wa siku zote ambao hawawezagi kuuachaKamwe katu sioi single maza bora nioe kitoto kidogo ama tasa ila sio single mama wapuuzi sana.
Interesting. Kama hutojali, unaweza kunifahamisha kama dini au dhehebu lako vina ushawishi katika hizi kanuni zako nzito za kiimani?
Vipi kuhusu suala la hisia za mapenzi? Nijuavyo, hizi hisia ndio zenye msukumo mkubwa sana katika kujenga na kudumisha mahusiano.
Na ukishamuonja ukaona hafai ndo Basi tena bikra ushamtoa mtoto wa watu..wakina joka jeusi wakja wanamuona kikopo tuu
Ni kweli mkuu vilio ni vingi humu kila mtu anajua hilo, Sasa ili kuepuka vilio ndio inabidi tununua vyuma vipya vinasoma 00km ? ? Kama ni hivyo lakini bado sio guarantee ya kutokulia, We unasemaje ?
Wakiwemo dada, mama, shangazi, bibi, na ndugu zako wote wa like.
Ni Malaya na vyombo vya starehe.
Msieeeeew zako.
Ndilo jibu muhimu nililokuwa nalitarajia. Shukran. Tatizo sasa sitarajii, kwa msimamo huu, utamani kuharibu "vilivyoharibiwa" tayari. Itakuwa ni kutaka kushika "uchafu" ilhali tayari umekwishanawa na maji safi.Binadamu ili awe kamili lazima aweze kuzuia hisia zake.
Ndio maana kuna wakati imani zinawaambia watu wafunge, wazuie hisia za njaa hata kama wananjaa, hii inaimarisha ustahiilivu na kuweza kutawala mwili wako.
Huwezi ukasema unahisia za kupenda uchafu na kushindwa kuzizuia alafu ukawa timamu.
Mimi hisia zangu nimeshaziwekea mipaka, haziwezi kupenda mwanamke aiye na bikra.
Kama vile mtu anavyoweza kujizuia kutokula mavi au kitu chochote kichafu.
Kuhusu dhehebu na dini achana nazo, maana mimi nafuata Torati zaidi
Kwani wewe no bikra??Unauliza makofi polisi?
Nilishasema kamwe siwezi oa mwanamke ambaye sijakuta bikra yake hata nikiwa maiti,
Hayo maswali mengine siwezi jibu, tafuta nyuzi zangu humu utapata majibu
Kwa zana hizi za kupoteza bikra shule ya msingi.....Wako wapi wenye Bikira.... labda uzae wako umuoe
Sawa.Bikra zipo kibao
Unachokitafuta ndio unachokipata, unachokiona akilini ndicho utakachokiona machoni.