Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JOKA JEUSI KATIKA UBORA WAKE...... NAKUSHAURI UANDAE NA KITABU PAMOJA NA UFUNGUE YOUTUBE CHANNEL SASA ILI KUFIKIA WATU WENGI MAANA POINT UNAZOTOA SIO MCHEZO NA ZINA MASHIKO
Kuna uzi umeanzisha kwenye hili jukwaa unaitwa mission impossible kapite kidogKuna msemo unasema; Kufa hufi ila chamoto utakiona.
Oa bikra acha kuingia mkenge
Aliiweka bikra pale alikuwa na maana kubwa sana na Aliona mbali sana.
Law. 21 . 13 “‘Ni lazima amwoe mwanamke ambaye ni bikira.
Aisee!Dingi ako naye alioa bikra?
Au kaoa MKE wa mtu
Mkuu tatizo lako hutoi tips jinsi ya kuzipata hizo bikra....!
Mkuu, wale ambao washabugi na tiyari washakuwa mchepuko kwa "mke", unawapa ushauri gani, wafanyeje ili wawe waume kamili kwa wake wao??Habari Wakuu!
Huu ndio ukweli mchungu, utake usitake. Kama hukumkuta mkeo akiwa na bikra basi tambua wazi kuwa wewe ndio mchepuko wa huyo unayemuona na kumuita mkeo.
Baadhi ya wanaume hulalamika na kuona uchungu wakisikia wake zao wanachepuka kwingine, wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukishaoa mwanamke asiye na bikra wewe ni mchepuko wake kwani shina kuu ni yule aliyembikiri. Na huyo mwanamke ataendelea kutoa matawi/michepuko kadiri ya siku zinavyozidi kwenda.
Kwani nini uwe mchepuko wakati wanawake wenye bikra wamejaa tele?
Kijana nakushauri kama hutaki kuwa miongoni mwa wanaoteseka ndani ya ndoa hakikisha unaoa mwanamke bikra ambaye wewe ndiye utakuwa shina kuu na sio mchepuko/tawi. Hii itakusaidia kuwa na amani ndani ya ndoa.
Kwa waliooa waendelee na ndoa zao, wapambane na hali zao.
Usioe mwanamke asiye na bikra kisha njoo unishukuru
Jokajeusi
Mkuu, wale ambao washabugi na tiyari washakuwa mchepuko kwa "mke", unawapa ushauri gani, wafanyeje ili wawe waume kamili kwa wake wao??