Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

JOKA JEUSI KATIKA UBORA WAKE...... NAKUSHAURI UANDAE NA KITABU PAMOJA NA UFUNGUE YOUTUBE CHANNEL SASA ILI KUFIKIA WATU WENGI MAANA POINT UNAZOTOA SIO MCHEZO NA ZINA MASHIKO

Hizi mada zinagusa mpaka waheshimiwa mkuu,

Huu ni mwanzo tuu, lazima nifanye msemavyo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Aliiweka bikra pale alikuwa na maana kubwa sana na Aliona mbali sana.
Law. 21 . 13 “‘Ni lazima amwoe mwanamke ambaye ni bikira.
 
Aliiweka bikra pale alikuwa na maana kubwa sana na Aliona mbali sana.
Law. 21 . 13 “‘Ni lazima amwoe mwanamke ambaye ni bikira.

Nashukuru sana kwa maandiko Mkuu.

Shida binadamu ni wabishi sana, hata Adamu na Hawa walipoambiwa wasile tunda wao walikula alafu leo watu wanamlaumu Mungu.

Kwenye ndoa vijana wanaambiwa wasioe wanawake malaya ili wawe na amana na ndoa nzuri wanakataa yakiwakuta wanakuja na misemo ndoa ndoano, sijui wanawake wabaya wakati wao ndio walikuwa na chaguzi mbaya
 
Mkuu tatizo lako hutoi tips jinsi ya kuzipata hizo bikra....!

Ngoja nitaweka Tips hapa.

Ila kama unajiamini sana, ukipata mchumba yeyote mwambie yeye na wazazi wake kuwa unataka kumuoa na unatoa mahari lakini kama hutakuta bikra basi ndoa itavunjwa na mahari itarudishwa, mbona rahisi sana.

Mischana yeyote kama hana bikra hawezi kukubali ifike hatua hiyo ili adhalilike yeye na wazazi wake.
 
Habari Wakuu!

Huu ndio ukweli mchungu, utake usitake. Kama hukumkuta mkeo akiwa na bikra basi tambua wazi kuwa wewe ndio mchepuko wa huyo unayemuona na kumuita mkeo.
Baadhi ya wanaume hulalamika na kuona uchungu wakisikia wake zao wanachepuka kwingine, wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukishaoa mwanamke asiye na bikra wewe ni mchepuko wake kwani shina kuu ni yule aliyembikiri. Na huyo mwanamke ataendelea kutoa matawi/michepuko kadiri ya siku zinavyozidi kwenda.

Kwani nini uwe mchepuko wakati wanawake wenye bikra wamejaa tele?

Kijana nakushauri kama hutaki kuwa miongoni mwa wanaoteseka ndani ya ndoa hakikisha unaoa mwanamke bikra ambaye wewe ndiye utakuwa shina kuu na sio mchepuko/tawi. Hii itakusaidia kuwa na amani ndani ya ndoa.

Kwa waliooa waendelee na ndoa zao, wapambane na hali zao.

Usioe mwanamke asiye na bikra kisha njoo unishukuru

Jokajeusi
Mkuu, wale ambao washabugi na tiyari washakuwa mchepuko kwa "mke", unawapa ushauri gani, wafanyeje ili wawe waume kamili kwa wake wao??
 
Mkuu, wale ambao washabugi na tiyari washakuwa mchepuko kwa "mke", unawapa ushauri gani, wafanyeje ili wawe waume kamili kwa wake wao??

Wawatiishe wake zao, wasikubali kupewa maneno ya kimalaya na wake zao, mwanamke akikataa kukusikiliza piga chini, na uhakika ni kuwa kama mwanamke hakumsikiliza mzazi wake na Mungu mpaka akaitolewa bikra na kumpa mumeo kitu used ni wazi hatakusikiliza hata wewe.

Kama alivyokuwa akijificha wazazi wake wasijue ameanza tabia mbaya ndivyo atakavyojificha ukimuoa ili usijuea anatoka na mwanaume mwingine.
 
Back
Top Bottom