Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Bikira wana alama usoni kiasi utawatambua eti... [emoji1787] [emoji1787]
Shangaa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikira wana alama usoni kiasi utawatambua eti... [emoji1787] [emoji1787]
Mkuuu...INATOSHA KUSEMA MUNGU HUMJUI...
Kama huyo Mungu alikuruhusu Wewe kuzini....Kisha okomalie bikra ya WANAWAKE..
Mimi Nadhani MAswala Ya MUNGU HUYAJUII..
BALI UMESIMAMA KWENYE MUNGU WA BIKRA YA MWANAMKE.
Ninyi msio na bikra ndio mmechoka na kuuona ni upuuzi, wenye bikra na walioolewa na bikra wanaona ni jambo zuri.
Kwa hiyo inategemea upo upande gani.
Kama ni malaya lazima utetee malaya wenzako
Kama sio malaya huwezi tetea
Nilishasema hata angekuwa mama yangu, kama hakuolewa akiwa hana bikra basi ni malaya. Niseme mara ngapi hivyo.
Umalaya hauna excuse,
Vijana msioe mwanamke asiye na bikra, ashumuni huyu ndio mke wenu kisha jioneeni
Ukitaka uamini hilo rudi bustani ya Eden, halafu jiulize nani alianza kusababisha matatizo yote tunayopata sasa hivi, jibu ni Mwanamke .Wanawake katika vitabu vya dini mnakipaumbele sana cha kuwa wasafi kuliko wanaume amini hilo. Ndio maana maandiko yakasema "" Katika Mwanamke nimeweka uzima na Kifo"" yaani katika Mwanamke kuna uumbaji na maangamizi vyote vimo ndani yenu.
Wanawake mnanafasi kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho kuliko wanaume , wanawake wanatakiwa kuwa katika hali takatifu sana kuliko wanaume.
Ni rahisi mwanamke asiye Mkristu kuwa Mkristu ila haiwezekani mwanamke asiyekuwa bikra kuwa bikra. Ninafikiri umepata jibu.Nina swali:
Aliyeowa mwanamke bikira but mwanamke ni mpagani (hamjui Yesu) na
Aliyeowa mwamke asiye bikra ila mwanamke kampokea Yesu kua mwokozi wake (kajengeka kiimani)
Yupi mjanja/ yupi atakua na Ndoa nzuri zaidi.
Tupe kifungu hiko kinachosema mtu aoe mtu mke mmoja.
Askofu pekeake ndiye aliyeambiwa lakini wengine wanaweza kuoa mke zaidi ya mmoja. Wewe umesoma biblia ipi hiyo?
MUNGU WANGU!! unamuita mama yako malaya for few likes za Jamii forums?? WEWE UMEPINDA more than i thought,
Kwa heri! naona nimethibitisha maneno yangu mwenyewe kuwa una hatrage na wanawake...duuh
NI HIVII WEWE MPUUZI, ANZISHA POLL WANAUME WA JAMII FORUMS UONE WANGAPI WAMEOA BIKIRA AMA MAHUSIANO WALIYONAYO NI YA MWANAMKE BIKIRA...!!!???!!!
LABDA UKICONFIRM MWENYEWE BIKIRA IS NOT THAT RELEVANT NA KWAMBA HIZI TOPICS ZAKO ZINAKU POTRAY KUWA UNAISHI ULIMWENGU WA KUFIKIRIKA AND YOU ARE DELUDED PERSON THEN UTATUPUNGUZIA MASHUDU YAKO YA KUHUSU BIKIRA,
Nahisi naweza kuacha huu mjadala uendelee..maanake khaaaaaa
Shida kubwa hapa ni watu kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa. Trust me, kama tungekuwa tunashiriki tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee, kila mmoja angeoa na kuolewa na bikra.Kwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.
kuna uwezekano mkubwa kuwa atapewa wa kufanana naye.Habari za Yesu unazo au unadandia tu gari kwa Mbele.
Kwani kahaba akiacha ukahaba na kumuomba Mungu ampe Mume.
Unadhani Mungu atakataaa ????
Tena maandiko yakasema , Kila mwanaumume na ajitwalie na kunywa divai katika kikombe chake mwenyewe kisicho na unajisi ,Mimi simjui huyu mungu mshenzi anayetaka tuoe takataka.
Mungu ninayemjua aliyeumba mbingu na nchi aliyetaka watu waoe wasichana bikra ndiye ninayemtambua.
Huyo mngu mzoga ambaye ni kigeuuge simjui, yaani Mungu aseme hivi alafu kesho aseme vile huyo si atakuwa mungu mpuuzi tuu.
Makahaba wana mungu wao, sishangai
Wakufanana nae..Ni mzinifu....Hata Joka jeusi kapewa wakufanana nae AMBAE NI MZINIFU...kuna uwezekano mkubwa kuwa atapewa wa kufanana naye.
Mimi Sio wa Dini hiyo....kwakweli..Sijui maandiko yenu kiundaniTupe kifungu hiko kinachosema mtu aoe mtu mke mmoja.
Askofu pekeake ndiye aliyeambiwa lakini wengine wanaweza kuoa mke zaidi ya mmoja. Wewe umesoma biblia ipi hiyo?
Anachofanya mleta mada ni kusimamia what is right. Suala la kwamba ni mdhambi au la ni juu yake na Mungu wake.Mimi..sijasoma...ila nachosema Ni kwamba..Kujitunza Ni jambo zuri Sana..
Ila Mwenyezi Mungu nimsamehevu anasemahe.....kila KITU..
Huyo Huyo Mungu anasema Tusikae kushughulishwa na.Mazambi ya watu wengine ...
Hakuna mkamilifu Huyu anakazana na kuona UZINIFU wa WANAWAKE....Yeye Hana ukamilifu kwani nae Ni mzifu..
Pia anamadhambi Mengi Sana ambayo yeye MWENYEWE anajua..
Mungu humpa Yule amtakae..Kuna watu Ni wadhambi Sana lakini bado Mungu akawabariki Sana...mfano FARAO.
Kwaiyo...nikweli Mungu anatutaka kujitunze...lakini PIA HAWEZI KUTUNYIMA wenza.. kwasababu HAKUNA Mwanadamu aso dhambi...
Wewe ndio kichwa maji kweli, Kwa hiyo Mama yako akiuza pochi manyoya yake pale kaumba, kisa ni mama yako ndio sio Malaya?
Nimeshasema hata kama ni Mama yangu, kama hakuolewa na bikra ni malaya tuu na huo ndio ukweli.
Wewe utaendelea kutetea fisi wenzako hapa kuhalalisha umalaya unaoufanya
Na wapo wengi wa hivyo,ss kama anasema anakaua katumia njia ipi kukagua huko kapiri mposhi?Amkague vizuri, asije kua kaoa mwana mtandao pendwa aliyeamua ku incur opportunity cost ya kuhanganisha 0714 ili aipumzishe bikra
Hebu kaisome 1wakorintho 7:1- alafu uje tena
Aiseee, inawezekana ni kweli.. Na vipi kuhusu sisi wanaume? Inatakiwa wanawake waolewe na wanaume ambao hawajawahi kunyandua?
Kwa asili ya uanaume Mungu tangu mwanzo hakuwa akimuhesabia/kum-limit sana ila alikuwa anamuadhibu pale alipokuwa anaenda nje ya sheria zake na mwanamke hakuwa na kipaumbele that's why utakuta hata baadhi ya mifano kwenye agano jipya Yesu alipokuwa anawalisha watu mikate huandikwa/imeandikwa “Wakala wanaume wapatao elfu tano” tudhani kwamba mwandishi nafasi ilim'bana ikakosekana nafasi ya kuandika “pamoja na wanawake kadhaa?”,hii iko planned kabisa na naamini wanawake kwa asili yao kwenye hiyo mikutano ya Yesu walikuwa wengi kuliko wanaume.Kweli hili nalo ni muhimu sana kujua
Hizo aya zimetukataza kuwakosoa wenzetu akwa lengo la sisi kujikweza. Biblia imeweka wazi umuhimu wa kukemeana pale wenzetu wanapoenda kinyume na utaratibu mwema. Soma Biblia na uitafakari vizuri bila kupotosha.Kama unasoma biblia Huyo Mungu anakataza kuona maboriti kwenye macho ya wengine..
Nahuyo huyo anasema Ya kale yamepita na yoote yamekuwa Mapya..(Kama nimepatia..)..
Kwaiyo atakae mtegemea Mungu.awe mzinifu awe jambazi awe muuwaji...Mungu humjibu Dua zake..
Hata huyo KAHABA akiamua kuacha na Kufanya Toba ya KWELI...Mungu anaweza mpa mume mzuri tu.
So Kama Ni Mungu asijadiliwe kwenye mlango mmoja TU...
Mungu hajaacha kuwapenda watenda dhambi hata SIKU MOJA...
NANI ASIE NA DHAMBI KATIKA MGONGO WA ARDHI?
Ningekuwekea Poll pale, tumalize this matter once and for all...ila why should i even waste my time for DELUDED,SELF-CENTRED IDIOT?? nakuachia mjadala wako..namaanisha this is my last post to you khaa,....