Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ushetwani mbaya sana, so mama yako akifanya umalaya yeye haitwi malaya kisa mama yako?

Embuoneni hili chizi

Uovu hauna cha Mama wala Baba, Ukifanya unapata jina jipya. Baba yangu akiiba, yeye ni mwizi kama wezi wengine.

So Ulitaka wengine waitwe kwa jina baya kisa sio mama zako?
Hili chizi kweli

Ili ujue wewe maharagwe ya mbeya na usiye na msimamo, umesema ile ilikuwa Your last post to my post, kinachokufanya uendelee tunakijua ni kuwa kahaba hanaga msimamo hata kwenye mambo madogo
Huwezi muita Mama yako mAlaya Kama unaamini Mungu
 
wewe kweli chizi,si ulisema huniwekei bundle??, unachoona cha ajabu ni kipi mimi kurudia haya mashudu yako????

Wewe endelea kuzuga hapo,ila huwezi kumuita mtu aliyekubeba miezi tisa ma*laya...hapo ndipo unapoonyesha wewe hauna moral authority ya kutuambia sisi lolote,... you are stupid,kutaka kuendelea kumaintain status ya upuuzi wako humu unaona uende extra lengths kiasi cha kumtukana your own mum........

utaniita mzoga,maharagwe ya mbea and whatever....ila kukuambia unaishi ulimwengu wa kufikirika sitaacha,na ukweli unaujua kwamba topics zako ni za ulimwengu wa kufikirika, ni sawa na wale watoto wadogo wanavyoamini ulimwengu wa fairy tales....pole we!

Mimi hakuna wa kunizuia kusema ukweli, ukweli ni ukweli hata kama unamhusu nani yako au yangu.

Wewe ndio upo katika ulimwengu wa kufikirika, yaani mambo aliyoagiza Mungu ndio unaita ulimwengu wa kufirika?
Ushetani mbaya sana, na wewe huoni kama unashida fulani.

Endelea kukoment kutetea ukahaba wako ndio uwanja wako, lakini najua unafahamu kabisa Fisi hajawahi kumshinda simba, kama vile shetwani hajawahi mshinda Mungu.
 
Nikweli....KUSIMAMIA WHAT is right ni Jambo Jema kabisa...

Hata Mimi siwezi mshauri mtu AZINI...
Lakini huku kuwaita wengine Takataka ..mizoga...makahaba...nk...Ni Sawa..

Kama KUSIMAMIA what is RIGHT...HII right ni bikra ya mwanamke TU...

RIGHT NI KUKATAZA UZINIFU.....SIO KUEGEMEA KWENYE UZINIFU WA MWANAMKE..

Huyu mwanamke hajizini mwenyewe
Kama WANAUME watakimbilia Zinaaa...hawatajizuia watawabaka hata hao WANAWAKE.
You are very right.

Lakini aliyeleta mada ameamua kujikita kwenye tatizo na madhara ya kutokuingia kwenye ndoa na bikra.

Anyone else anaweza kuleta hizo mada za kukemea hizo dhambi nyingine. Mleta mada ameleta hili suala la bikra na ndiyo mada kuu, let's not allow ourselves ku-lose focus.

tujadili mada iliyopo mezani.
 
Huwezi muita Mama yako mAlaya Kama unaamini Mungu

Malaya ni malaya hata angekuwa ni mungu mwenyewe.

Dhambi haina excuse.

Ninyi ndio mnashindwa kuwa majaji wa kutoa haki pale ndugu zenu au watu wakaribu wanapokosea.
Kama ni mama anafanya uzinzi yeye ni malaya kama walivyo malaya wengine. Kama kaibi ni mwzi kama walivyo wengine. Huo ndio ukweli. Huko ushetanini ndio hamuwezi kukemeana kisa mnaukaribu na waovu
 
Ushetwani mbaya sana, so mama yako akifanya umalaya yeye haitwi malaya kisa mama yako?

Wewe endelea kuzuga hapo,ila huwezi kumuita mtu aliyekubeba miezi tisa ma*laya...hapo ndipo unapoonyesha wewe hauna moral authority ya kutuambia sisi lolote,... you are stupid,kutaka kuendelea kumaintain status ya upuuzi wako humu unaona uende extra lengths kiasi cha kumtukana your own mum........

Labda kama umaana wa Kiswahili umebadilishwa ila mbona hiyo line hapo juu inaeleweka vizuri?hajatamka mtu hapo kwamba “mama yangu ni malaya” kama ni hivi ndo tungesema amekengeuka ila amekazia tu na kwanini mkiwa kwenye battle mnapenda sana kulazimisha uwingi ambao haupo?

Mf;wewe hapa umebeba bendera kuwakilisha wenzako ila unalazimisha uwepo wao (kama hapa unang'ang'ania amemuita mama yake malaya kana kwamba mama yake atasoma hapa ili amkanye mwanae)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kubwa hapa ni kuwa wanaofanya mambo ya kawaida wanaonekana siyo wa kawaida; na wanaofanya mambo yasiyokuwa ya kawaida wanaonekana wapo kawaida.

Wanaofanya mambo sahihi wanaonekana kutokuwa sahihi while wasiofanya mambo sahihibwanaonekana sahihi.

Huu ni ugonjwa mbaya sana kwa jamii yetu ya sasa.
 
Mwanamke mchafu Ni kwa mwanaume mchafu....au kwa mwanaume asieamini

Mzinifu achapwe bakora 80 na Kama ameoa apigwe mawe Hadi kufa.

HAKUNA sehemu Mungu kasema mwanamke mzinifu hafai kuolewa na atengwe ..alafu Huyu Mungu Tena aseme yeye Ni msamehevu anasamehe kila dhambi hata Shirki..

Uchafu wa Mama au baba hauendi kwa mtoto...
No bearer of burdens will carry the burdens of another..

Sikumbuki TU ni Quran ngapi...mstari was ngapi....

Ngoja nikumbe andiko linalosema kuwa mwanamke kama hajakutwa na bikra mwanaume anayohaki/anaweza kumuacha kwa talaka/

Soma uzi huu pia >>> Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako

Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
 
Labda kama umaana wa Kiswahili umebadilishwa ila mbona hiyo line hapo juu inaeleweka vizuri?hajatamka mtu hapo kwamba “mama yangu ni malaya” kama ni hivi ndo tungesema amekengeuka ila amekazia tu na kwanini mkiwa kwenye battle mnapenda sana kulazimisha uwingi ambao haupo?

Mf;wewe hapa umebeba bendera kuwakilisha wenzako ila unalazimisha uwepo wao (kama hapa unang'ang'ania amemuita mama yake malaya kana kwamba mama yake atasoma hapa ili amkanye mwanae)

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu ni yule jambazi aliyetaitiwa kuuawa sasa anakamata mtu na kumuwekea ngao yake ili msimpige kwani mkimpiga mtampiga huyo mtu asiye na hatia
Hapo anamuingiza Mama akidhani sitapiga risasi,

Hapa watu wanamuelewa lakini yeye anajiona haeleweki kwa ujinga wake
 
Labda kama umaana wa Kiswahili umebadilishwa ila mbona hiyo line hapo juu inaeleweka vizuri?hajatamka mtu hapo kwamba “mama yangu ni malaya” kama ni hivi ndo tungesema amekengeuka ila amekazia tu na kwanini mkiwa kwenye battle mnapenda sana kulazimisha uwingi ambao haupo?

Mf;wewe hapa umebeba bendera kuwakilisha wenzako ila unalazimisha uwepo wao (kama hapa unang'ang'ania amemuita mama yake malaya kana kwamba mama yake atasoma hapa ili amkanye mwanae)

Sent using Jamii Forums mobile app

sema SUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU tuweke POLL!!!!???? tukunyamazishe for good! LOL!! huyu uliyemquote clearly ajajua tulianzia wapi.....eti umpige mtu risasi..una huo ubavu basi???!!!!
 
Malaya ni malaya hata angekuwa ni mungu mwenyewe.

Dhambi haina excuse.

Ninyi ndio mnashindwa kuwa majaji wa kutoa haki pale ndugu zenu au watu wakaribu wanapokosea.
Kama ni mama anafanya uzinzi yeye ni malaya kama walivyo malaya wengine. Kama kaibi ni mwzi kama walivyo wengine. Huo ndio ukweli. Huko ushetanini ndio hamuwezi kukemeana kisa mnaukaribu na waovu
Duuh....yaaani Mama yako ufungue mdomo umuite Malaya...au unasema TU jamii forum..

Ndo Maana nakwambia maandiko ya Mungu huyajui..ulichokion kwenye bible Ni kutoaa Asie bikra tu
 
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo Moto Mkuu
 
Kingereza chako kinachekeshaga sana Mkuu.

Haahaaa

WEEE tumia another tactic...hii haifanyi kazi, Kuna wazungu wamezaliwa nchi wanaojiita ENGLISH people and yet akiandika mahali unaona clearly hajui kingereza, halafu mbantu mjinga mmoja ndio anakuja kunipigia kelele kuhusu kingereza..... I TAKE NO NOTICE..... IDIOT
 
Duuh....yaaani Mama yako ufungue mdomo umuite Malaya...au unasema TU jamii forum..

Ndo Maana nakwambia maandiko ya Mungu huyajui..ulichokion kwenye bible Ni kutoaa Asie bikra tu

Kama itapaswa kusema ukweli unafikiri nitashindwa kusema ikiwa ni kweli Mama atakuwa ni malaya?

Shetani anatabia ya unafiki, sasa kama unashindwa kusema jambo dogo kama hilo kipi unaweza?

Au kazi kuwasonda vidole wamama wa wengine
 
WEEE tumia another tactic...hii haifanyi kazi, Kuna wazungu wamezaliwa nchi wanaojiita ENGLISH people and yet akiandika mahali unaona clearly hajui kingereza, halafu mbantu mjinga mmoja ndio anakuja kunipigia kelele kuhusu kingereza..... I TAKE NO NOTICE..... IDIOT

Wapi nimesema hujui kingereza wewe mwanamke? Yaani umechanganyikiwa kiasi hiki.

Nimesema kingereza chako ni cha Charlie chaplin
 
sema SUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU tuweke POLL!!!!???? tukunyamazishe for good! LOL!! huyu uliyemquote clearly ajajua tulianzia wapi.....eti umpige mtu risasi..una huo ubavu basi???!!!!

Mkuu naomba Mungu akusamehe maana umechanganyikiwa vibaya mno.

Mara POLL mwishoe utasema Pull
 
Aiseee.. Uzi umekua wamoto,
Nilichogundua fasta ni kwamba wanawake wanaowaka kwa hasira humu hawana bikra au waliolewa bila bikra.

Huyo Bibie hapo nimeshamzoea hata humu wanamjua alishachanganywa siku nyingi embu soma huku ndio utajua betri zake zilipiga shot

Back
Top Bottom