Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maadili ya jamii zetu yanashita sana.

Ninashangaa wanaotetea ndoa za wanawake wasiokuwa bikra!

Au wanaotetea kurudi shule wanawake waliozalishwa!

Jamii yetu imeoza sana aisee.
 
Ukweli me nakula mbususu za wanawake. Ila ntakua impressed kuoa kitu iliyokua na superglue
 
Maadili ya jamii zetu yanashita sana.

Ninashangaa wanaotetea ndoa za wanawake wasiokuwa bikra!

Au wanaotetea kurudi shule wanawake waliozalishwa!

Jamii yetu imeoza sana aisee.

Alafu baadaye wanalalamika ati hawapendwi 🤣🤣
Mtu anawachumba Sita wewe ulikuwa WA Saba alafu utake akupende 100%
Ajabu hii
 
Ukweli me nakula mbususu za wanawake. Ila ntakua impressed kuoa kitu iliyokua na superglue

Ukiona Bikra ndio mkeo,
The founder, muanzilishi, Muasisi, jioni, n.k.

Sasa unaoa mtu Hana Bikra lazima uishi Kwa wasiwasi, unakaa nyumbani unaingia JF unashangaa kuna lihuni linamkumbuka mke wako uliyemuoa, huo si uchizi
 
Na kuna imani kuwa wanawake huwa hawawasahau wanaume waliowatoa bikra....sijui kama ni kweli!
 
Hizi ni dalili tosha kufikia mwaka 2050 wanawake wengi watakuwa single Maza

Kwa sababu pande zote mbili zinaona kuoa na kuolewa no kujinyima Uhuru

Mtu ataoa na ataolewa Ila baada ya miaka mitano au sita kushineh

Wanaume tuendeleze kauli mbiu

Kunga'ta na kupuliza hakuna wife materials wote ni wadangaji
 
Zama zimebadilika sana. Wakati nipo kijana sikuwa mpenzi wa mabinti wasio na uzoefu na maisha na mpaka sasa na huu uzee sijawahi kuwa na tamaa ya ngono na binti sababu ya ubikra, nilishakutana nazo ila ule utoto na kutokujua mambo mengi kuliwafanya wasiwe na thamani kwangu, Nilipenda wanawake walionizidi umri na nilioa mwanamke aliyenizidi umri na sasa ni mtu mzima sana ila bado anavutia. Ndoa yangu haijawahi kuwa na matatizo ya X. Labda kama alifanya kwa siri sana, sijawahi pia kuwa na hofu kuhusu X wa mke wangu au kuchapiwa. Labda ni bahati tu ila wakati mwingine nadhani nilioa mwanamama anayejielewa.
 
Back
Top Bottom