Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Acha hiyo, sasa hivi unaweza ukaoa mke ambae ni mume wa mtu vile vile..

Kikubwa we ukiona anaekufaa chukua kuleni ugali.
Hutaki ndoa pia haina tabu, ishi hivyo. Usifanye jambo kisa fulani limemtokea.
Very true. Maisha hayana formula, kikubwa ni kumake the right choice na kuprioritize furaha yako. Damn, we only live once. We need to be happy
 
La mgambo likilia ujue kuna jambo
nadhan kuu kakutana jambo kuu hadi kabobea kwenye philosophia za mapenz na ngono
 
Ndoa hizi kuwa mbovumbofu hata wanaume wanachangia huo ujinga, wengi hawaeleweki kabisa, unakuta mzigo mwingi wakuangalia familia anaachiwa mama tu, yeye akinunua minyama, mchele, sijui samaki kamaliza, hajui malezi mengine yanaenda vipi, kazi yao ni kupiga umbeya na mama zao na dada zao, huku hajui mienendo ya watoto wake, siku ya siku lawama Kwa mama, wakati mtoto wa kike mlinzi wake wa kwanza ni baba, lakini utakuta na midevu yake anamsengenya mkewe Kwa ndugu zake badala yakuangalia watoto wao na mkewe.
 
Mbaya ni nani hapa
1. Mwanamke anaetoa kabla ya kuolewa ama
2. Mwanaume anaetaka bila/kabla ya kuoa
 
Malezi ya kipumbavu ndiyo yanayo sababisha, watoto wadogo kutoana bikra wao kwa wao na familia nyingi za kishua, Kaka na dada wanakulana sana!
 
Ajabu , yeye hiyo bikira anayo? Hata zamani wanaume walikuwa wanaoa hawajui chochote wanaenda kujifundisha kwa pamoja, ukute yeye kawatoa wasichana kibao
Watabwabwaja safari hii mpaka wajute...kote kugumu🤭
 
Baada ya mda mrefu humu watu kujazana upepo kuwa ukitaka kuenjoy basi owa mwanamke Bikra niksema ngoja niingie field nipate maiibu sahihi

Kipindi nataka kuowa nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mzuri tu ambaye nilimkuta na miaka 27 mimi 31, Ni binti ambae sikumkuta bikra ila nilimkuta hana mtoto, ila anayajua mapenzi vilivyo na ana heshima na adabu Maashaallah, alikuwa akija kwangu akitoka hapo unasema mwanamke alikuwemo kweli maana ni msafi alafu anaheshima na hakuwa malaya then alikuwa na akili za kiuutuuzima.

Baada ya kuufuata upepo humu kuhusu umuhim wa Bikra kwenye kuowa basi nikaja nikaja kujaa mazima kwa binti mmoja 24 years na wakati naanza kumtongoza akaniambia yeye ni bikra ila sikuamini

Siku nakuja kufunua nikakuta ni kweli ila shida alikuwa ni muoga vibaya mno wa shuhuli , miezi mitatu ndio nimekuja kuivunja tena kwa mbinde maana alikuwa hataki kabisa , na nikata kumuowa kabisa maana nilihakikishiwa.kabisa wametulia

Balaa likaanza Binti ni kiburi balaa alafu akikasirika anapandishiana maneno na mimi yaani ile hulka ya adabu ya mke kwa mume hana, cha pili utoto mwinngi na linapokuja swala la sex anakuwa mwoga mwoga yaani sometime unajihs mbakaji kumbe upo na mwanamke wako

Ila ule mdomo wake mchafu akikasirika ndio nikaona hapa hakuna mwanamke na nikaamini Bikra sio kila kitu nikamtafutia sababu nikampiga chini sababu hana adabu, nikafanya mpango nikamtafuta binti nliyekuwa nae nikamuomba samahani kuwa nilipata matatizo maana nilipotezana nae kwa miezi akakubali nikarudi mjengoni kwa sasa nakula raha tu na mwezi huu mwishoni nafunga nae ndoa

Ila niwaambieni tu msije mkadhani bikra ndio usalama wa ndoa yako maana hata hawa wnaawake wanaoonekana hawafai kwa sasa wote walikuwa bikra yaani tabia chafu za mwanamke akiwa nazo hata umuowe akiwa bikra kama anazo utakutana nazo na mtaachana tu

Mchunguze mwanamke vizuri muelewe ndio uowe, Bikra hata wake za watu wnaaochepuka wengine waliolewa wakiwa na hzo bikra
 
"Siku nakuja kufunua nikakuta ni kweli ila shida alikuwa ni muoga vibaya mno wa shuhuli , miezi mitatu ndio nimekuja kuivunja tena kwa mbinde maana alikuwa hataki kabisa , na nikata kumuowa kabisa maana nilihakikishiwa.kabisa wametulia"


Hapa ndipo uongo na chai ilipoanzia.
 
Namimi niliwahi kumpata alienihakikishia kuwa yeye ni bikra pure, nikapanga kumuoa kabisa! Japo nilikuwa na mpango wa kutofanya nae mapenzi kabla, Umbali kati yangu nayeye uliwezesha hilo. Mwisho wa siku kauli chafu, na utovu wa nidham kiujumla aliokuwa akionyesha, niliamua kupga chini, huyo tusingefika mbali wala.
bikra nilimuachia atakaye muoa!!
Na huenda akawa ni huyu huyu unaemzungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom