Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Utengenezaji wa bidha viwandani huwa wanaweka kitu kinachoitwa SEAL. Bidha yenye SEAL maana yake ni mpya, haijaguswa na MTU yeyote.

Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.

Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.

MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.

Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.

5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake.
Kwani mwanaumwe hajalambwa jaman, mbona mnakuwa hivyoo wapendwa
 
MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
Pumbavu! Tumeshawakula wangapi ambao waliolewa Bikira! Sema tu sasa hivi tumejiheshimu hatutaki tena wake za watu! Ila ni wao ndio walituthinitishia kwamba tangu wameolewa hawakuwahi kufika Kibo!
 
Mwanamke ambaye sio bikra hana cha kupoteza na mwili wake

Mwanamke ambaye amepoteza ubikira wake ni vigumu kuwa na sexual discipline

Maana alichokuwa anakitunza 'ubikira' ameshaupoteza hana cha kukupigania kwa sasa

Kwa hiyo kinachofuata hapo ni kumchanulia mapaja mwanaume yoyote na safari ya umalaya inaanza rasmi.

Kwa hiyo yeye huutendea mwili wake bila thamani na hajiheshimu, akiitwa malaya haoni ajabu wala kushtuka maana ni malaya kweli

Tofauti na ambaye ni bikra bado anauheshimu mwili wake na ana sexual discipline, possibility ya kumcheat mume wake ni ndogo ukifananisha na asiye bikra

Exactly 💯
 
Basi tumefeli wengi, kifo wengi ni harusi. Hata wewe mwenye uzi umefeli, huenda ulidanganywa.
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Aliye mbikiri
Aliye mfikisha kileleni kwa mara ya kwanza
Aliye mfanya akaitwa mama kwa mara ya kwanza
Hawa ni wanaume hatari sana kwa ustawi wa mahusiano yako..they have a great to have access na mwanamke wako at anytime....
 
Kiranga acha uongo.

Hakuna mwanaume (mwenye akili timamu) asiyetamani kuoa mwanamke bikra.
Kama Ushawahi kukutana nazo kama sisi utagundua hazina maajabu

Na kitu msichojua ukimtoa bikra lazima ajaribu kuonja kwengine ladha yake [emoji23]


Kama unadhani ukitoa bikra utapendwa pia unajidanganya[emoji23] kweli hatakusahau kama vile wewe najua huwezi msahau mwanamke wako wa kwanza .


Mara nyingi penzi anafaidi yule wa pili [emoji23][emoji23] sema wengi wanazingua.
 
Back
Top Bottom