Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naimagine tuu umlie mwanaume hela yake alioitafuta kwa shida alaf akuache asikukule, atakua mwanaume wa wapi?
Alaf kuna watu bk ikishakatwa ndo vinaanza kuliwa hovyo
 
ila mkuu kuoa bikra wakati mwingine ni pata potea tu..kwa vigezo vyako ulivyo orodhesha huko juu eti unaanza kumdundisha ww mambo ya kissing,romance na sex upo sahihi ila kumbuka ww hujui au huna utaalam wa kila kitu isitoshe huyo bikra wako ana mengi pia ya kujifunza tena wanashawika kirahisi zaidi baada kusikia au kusimuliwa kitu tofauti na ulicho nacho ww hivyo rahisi kujaribu asichopata kwako na akiotewa vizuri huko anazuzuka vibaya mno maana vitu vingi vitakuwa vipya au vigeni kwake.. tofauti na asiye bikra aliyepita sehemu tofauti anajua mengi hivyo si rahisi kuzuzuka kishamba tokana na uzoefu hapatokuwa na jipya la ajabu kiasi apoteze maboya..hivyo bikra na asiye bikra ka mmoja ana faida na hasara zake
 
Back
Top Bottom