Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Alhamdu lilah maana yake NAMSHUKURU ALAH.....sio sawa na kusema praise the lord.....maana yake tumsifu bwana....ALAH AKBAR maana yake MUNGU MKUBWA..ALAH ni mkubwa mkubwa.. .haluluyah maana yake ni tumsifu bwana ..sasa nakuuliza KANISANI SEMA ALAH AKBAR kama hujatolewa nje....kwa MAKOFI...hvyo ni vitu viwili tofauti...ALAH ni MUNGU ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa .wala hana mshirika.....unapomfananisha na halelujah nashindwa kukuelewa mkuu..helulujah ni MUNGU aliyepigwa MAKOFI msalabani....ni tofauti na ALAH...ALAH hakuna mwanadamu aliyewahi kumuona...wala kusikia sauti yake zaidi ya MOSES...TU..ila anauwezo wa kusema kuwa na ikawa...anajuwa mwanzo na mwisho....ana yajuwa yaliyo wazi na siri zetu zote...
 
Hamna alichokosea,ukisikiriza mashairi ya wimbo,Luna sehemu,ni kama anamsifia mwanamke,na kwa uzuri alionao," she makes me say haleluya"haina tofauti unapomuona mdada kapendeza,au ana uzuri usio na kifani,kwa mwashangao ukasema," oh my God she is beautiful" au Jesus Christ du! Mungu ameumba,au Da! Mtoto Mashaalah!,sasa usikimbilie kunyofoa neno moja ukaritafsili kama wimbo,jaribu kutafsili concept iliyofanya hilo neno litumike,
 
Ulipoteleaga wapi ww jamaa
 
Halleluyah!!! Mumuache diamond anaeitumia akili yake yote na kujitaftia riziki!! Hivi hamuoni vingapi vizuri alivofanya au hadi akugawie mikate?
 
Namshukuru Allah ndo nini?! Kwanini unachanganya Kiswahili na Kiarabu?

Pili, huyo Allah unamshukuru katika mazingira yapi, au kwa maana nyingine ni katika mazingira yapi unasema Alhamdullilah?! Likewise, na hiyo "Tumsifu Bwana" uliyosema unamsifu katika mazingira yapi?!

Tatu, kwanini mtu kanisani aseme Allah Akbar wakati nimeshasema Praise the Lord/Hallelujah sio sawa na kusema Allah Akbar? Wakati huo unataka kutoa ujumbe gani unaposema neno Allah Akbar kama lilivyo?

Kwamba Hallelujah ni Tumsifu Bwana, mara kadhaa nimesema Hallelujah ni neno la Kiingereza lililotoholewa kutoka kwenye Hebrew. Tafuta historia ya hilo neno. In short, hayo ni maneno mawili; “Hallelu” na “Yah”. Kimsingi, neno halisi la Kihebrania ni "YHWH” na sio "Yah".

Lakini kwavile Kihebrania kilikuwa hakina Vowels, ndipo YHWH ikawa inaandikwa Yah, and most the times Yahweh with standard English translation being Jehovah!

YHWH sio Bwana kama unavyojaribu kusema kwamba Hallelujah ni Tumsifu Bwana. Na kama ni Bwana basi ni Bwana Mungu Mmoja mwenye sifa kuu ya uumbaji!!!

Sasa ni mgonjwa wa akili tu ndie anaweza kuthubutu kusema kuna Mungu zaidi ya mmoja mwenye sifa ya kuumba!! Kama Mungu mwenye sifa ya uumbaji ni mmoja TU basi Mungu huyo anaweza kusifiwa na kiumbe yeyote; awe Mkristo au Mwislamu; Myahudi au Budha! Na hata kama wanyama wa porini wana uwezo huo, nao wana haki hiyo kwa sababu hawa wote wameumbwa na Mungu yule yule!

Call Him Allah, Jehova, Mungu or whatever, hizo ni lugha tu na kwahiyo ni ubinafi usio na maana yoyote kwa kundi moja la watu kujiona ndio wenye haki ya kumtaja au kumtukuza Mungu aliyeumba kila kiumbe!!!
 
ALHAMDULILAH...Maana yake namshukuru MUNGU(ALAH)..na nimekuwekea ALAH kwenye mabano (MUNGU) ili uelewe...hapa Duniani kuna MUNGU wengi tu. Hata NJIWA..NA NG'OMBE pia kuna watu ni miungu yao....hyo PRAISE THE LORD....ni tunamsifu BWANA....na haifanani na NAMSHUKURU MUNGU..na hata ikiwa ina maana ya kumshukuru MUNGU? basi sio MUNGU HUYO ALAH...hyo ni MUNGU aliyepigwa VIBAO..na MATEKE. ..usipepese maneno...kama hayo maneno ni sawa. ..SEMA KANISANI ALHAMDULILAH kama hujafukuzwa ....usitetee VITU usivyovijuwa maana yake..au umeona wapi neno HALELUJAH likatamkwa MSIKITINI? hayo ni maneno ya dini mbili tofauti..wala hayafanani maana...wala wanayoyatumia...hata leo PADRI aseme alhamdulikah kanisani kama hamjahama kanisa.
 
Nilivoelewa mimi, Mond anampraise God kwa kuumba mtoto mzuri aliyemuimbia humo......"she makes me say......halelluyaaaa". So yupo sawa tu.
 
Ingekuwa neno linatumiwa na imani nyingine kingeshawaka wakristo in wastaarabu sana
 
Hilo LA mchezaji umechemka
 
Kweli kabisa hilo neno haleluya ni kwa kwa ajili ya kumsifu Mungu muumba wetu. Sasa haipendezi mademu wapo nusu uchi et haleluya kweli haipendezi bora angetumia neno lingine sio haleluya so sad!
Ajabu watu wanamtetea
 
!
!
Neno lenye maana sawa na hilo kwenye dini yake halipo? Kwa nini asitumie maneno yanaopatikana kwenye dini yake? Kwa nini haikuwa Allah Huakbar
Kingeshawaka na hawa wanamtetea niwa imani yake ila ingeguswa imani yao saivi wako wcb wakiimba takbil
 
Mi nimetazama kwa jito tofauti kidogo...

NIMEONA KAMA ANASIFIA KAZI YA MIKONO YA MUNGU KWA HAO VIUMBE.... nikinukuu ulivyolitumia wewe.."Mungu apewe sifa"... NAAMINI ANASEMA APEWE SIFA KWA KAZI YAKE ILIVYOTULIA...

Ngali K
Why hakutumia hilo neno kupitia imani yake? Kwani halipo
 
Mungu hachangamani na uovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…