Alhamdu lilah maana yake NAMSHUKURU ALAH.....sio sawa na kusema praise the lord.....maana yake tumsifu bwana....ALAH AKBAR maana yake MUNGU MKUBWA..ALAH ni mkubwa mkubwa.. .haluluyah maana yake ni tumsifu bwana ..sasa nakuuliza KANISANI SEMA ALAH AKBAR kama hujatolewa nje....kwa MAKOFI...hvyo ni vitu viwili tofauti...ALAH ni MUNGU ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa .wala hana mshirika.....unapomfananisha na halelujah nashindwa kukuelewa mkuu..helulujah ni MUNGU aliyepigwa MAKOFI msalabani....ni tofauti na ALAH...ALAH hakuna mwanadamu aliyewahi kumuona...wala kusikia sauti yake zaidi ya MOSES...TU..ila anauwezo wa kusema kuwa na ikawa...anajuwa mwanzo na mwisho....ana yajuwa yaliyo wazi na siri zetu zote...
Namshukuru Allah ndo nini?! Kwanini unachanganya Kiswahili na Kiarabu?
Pili, huyo Allah unamshukuru katika mazingira yapi, au kwa maana nyingine ni katika mazingira yapi unasema Alhamdullilah?! Likewise, na hiyo "Tumsifu Bwana" uliyosema unamsifu katika mazingira yapi?!
Tatu, kwanini mtu kanisani aseme Allah Akbar wakati nimeshasema Praise the Lord/Hallelujah sio sawa na kusema Allah Akbar? Wakati huo unataka kutoa ujumbe gani unaposema neno Allah Akbar kama lilivyo?
Kwamba Hallelujah ni Tumsifu Bwana, mara kadhaa nimesema Hallelujah ni neno la Kiingereza lililotoholewa kutoka kwenye Hebrew. Tafuta historia ya hilo neno. In short, hayo ni maneno mawili; “
Hallelu” na “
Yah”. Kimsingi, neno halisi la Kihebrania ni "
YHWH” na sio "Yah".
Lakini kwavile Kihebrania kilikuwa hakina Vowels, ndipo YHWH ikawa inaandikwa Yah, and most the times Yahweh with standard English translation being Jehovah!
YHWH sio Bwana kama unavyojaribu kusema kwamba Hallelujah ni Tumsifu Bwana. Na kama ni Bwana basi ni Bwana Mungu Mmoja mwenye sifa kuu ya uumbaji!!!
Sasa ni mgonjwa wa akili tu ndie anaweza kuthubutu kusema kuna Mungu zaidi ya mmoja mwenye sifa ya kuumba!! Kama Mungu mwenye sifa ya uumbaji ni mmoja TU basi Mungu huyo anaweza kusifiwa na kiumbe yeyote; awe Mkristo au Mwislamu; Myahudi au Budha! Na hata kama wanyama wa porini wana uwezo huo, nao wana haki hiyo kwa sababu hawa wote wameumbwa na Mungu yule yule!
Call Him Allah, Jehova, Mungu or whatever, hizo ni lugha tu na kwahiyo ni ubinafi usio na maana yoyote kwa kundi moja la watu kujiona ndio wenye haki ya kumtaja au kumtukuza Mungu aliyeumba kila kiumbe!!!