Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.

Kwa Mara nyingine ccm wamemwaribia Magufuli wanaweka live yake Mbeya siku ya uzinduzi wa kampeni wa CHADEMA kama walivyoenda kuchukua fomu siku Lowasa anathibitishwa na Mkutano mkuu wa CHADEMA. Yaweza kuwa kuna wanamuhujumu huyu ndg Pombe
 
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.

Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.

Hiyo chuki yako kwa Ukristo imepitiliza, unatia aibu sana bibi mkubwa, kwani utaendelea kusononeka mpaka siku unaingia kaburini kwani wakristo , waislamu na wasio na dini wataendelea kuwepo hapa nchini la sivyo hama nchi hii.
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba karibu wanaCCM wote mnafuatilia ufunguzi wa Ukawa na mgombea wake mmesahau kama mna mgombea wenu.

ni kweli mkuu mana hakuna hata uzi unaoelezea sera za Pombe akiwa mikoani, tunaskia tu kwamba yupo sumbawanga, mara mbeya ila hawaandiki humu anachokiongea huko. Wote sisi wana Ukawa na maccm tunamjadili Lowasa na Ukawa tu.
 
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.

Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.

nilijua tuu wanga watavamia hapo kama unataka ngonjera basi hata kaimbe taarabu. Tumechoka na mashairi ya lumumba
 
Mtoa mada huna hoja hotuba inaweza kuwa ya dakika tano lakini makini ukawa ni watu makini hakuna haja ya kutoa speach ya masaa matatu kama ya sisiemu isiyokuwana tija na isiyotekelezeka. ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeee

Usimlaumu wamezoea porojo za chama tawala.
 
Mtoa mada huna hoja hotuba inaweza kuwa ya dakika tano lakini makini ukawa ni watu makini hakuna haja ya kutoa speach ya masaa matatu kama ya sisiemu isiyokuwana tija na isiyotekelezeka. ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa kama atashindwa kusimama hata dakika 30 kuhutubia ataweza ktk mikutano mikubwa ya kimataifa.?? Hoja ni kwamba tuangalie uwezo wa mgombea wetu, uhodari wa kuzungumza na watu, ushirikiano kati ya mwili na matamshi yake.
 
Wanaogopa kuleta ahadi za uongo humu kwani zina tia aibu xo ina bidi wamwongelee lowasa (RAISI WA AWAMU YA TANO)
 
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira

Mtakuwa na viroba na bangi ya kutosha kama ile mliyogawa Unga ltd Arusha mwaka 2011?
 

Na watakuja tena kuulizia cheti cha Zima moto pamoja na BIMA kama ipo
 
Hata kama wakimuandikia atakuwa anatetemeka mikono; afya zero kabisa
Daaaaa sasa kama afya zero kwanini wasingemshauri apumzike tu? Hana washauri. ? Ila pamoja na hayo, mimi nitashawishika kuona anatumia walau dk 45.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…