Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Kama mnavyoona kinachoendelea sasa ni upotoshaji mkubwa wa habari unaofanywa na Ukawa ili kuhakikisha watu wanafika kwa wingi kesho Jangwani. Sasa mimi najiuliza, hawa watu si wanadai watanzania wengi wako nyuma yao na wameichoka CCM. Sasa nguvu yote hii ni ya nini? Mara kupotosha kuwa vigogo wa CCM 30 watahamia UKAWA-watu waende kuwaona, mara Dr. Slaa atahutubia, mara Lowasa kumwaga sera (wakati ameshindwa hilo katika miaka yake 30 ya siasa- ataweza kesho), mara kuna mkesha watu waje n.k. Yote haya ni ya nini? Mbona UKAWA wamepanic hivi.

Kesho tunataka kusikia ni nini mtawafanyia watanzania sio 'mchaka mchaka chinja' na maneno matupu ya 'mabadiliko. Kesho kwangu jangwani ni sehemu nzuri ya kuuza bidhaa zangu.
 
Una uhakika kuwa ukawa ndio wanasema hayo? Any research? No research no right to speak
 
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.

Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.

Pia na mimi SHEIKH ABDULRAHMAN IBN MALIK ntakuwepo na madrassa yangu MADRASATUL FIISABILI LLAH kutoa burudani ya kaswida na kutia FATHA.

ACHA UDINI WEWE KESHO JANGWANI KUNATUHUSU SOTE HATA WASIOAMINI DINI KUNAWAHUSU PIA.
 
stay tuned
 
Katika kipindi hiki cha Uchaguzi tutaona mengi kwa vyama vyetu vya siasa.
 
Watu mle mshibe ubebe na maji au juice maana huo umati lazima kizungu zungu mzee
 
Hata wadanganye kuwa JK anahamia UKAWA hawatafurukuta kwa Magufuli
 
Rest assured kuwa Mabasi ya UDA mliyojigawia hayatatumika kusomba watu, neither Magari ya Taka na mafuso ... Wananchi wanakiu ya mabadiliko ...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…