Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Niko safarini nikiingia usiku nitapitiliza jangwani moja kwa moja.Tuombeane safari njema
 
Reactions: C.K
lumumba wanatamani kutokee mvua kesho wanatamani wangewapata wataalamu wa mvua za kukodi kutoka thailand bt mtaalamu wa mvua za bankonk thailand 2nae sisi mr mamvi na ndo mbaya wao dah usiye mpenda kaja

HahahahaHahahaha!
 
Ujenzi wa jukwaa unaendelea mi napita hapa jangwani now
 
Ila kumbuka wanawake watakaa upande wao, red brigade watahakikisha ilo.
 
Kwani ile ya Arusha viwanja vya Sheikh Amri Abeid alizungumza kwa mda gani?
 
Update jamani, vipi policcm wameishia wapi na issue ya kibari kana kwamba linajengwa jukwaa la kudumu?
 
Ni mbinu tu za kupunguza attension ya watanzania kwa ukawa kesho jangwani CCm wanaweweseka tu .MANENO yoooooote Jangwani 29,/08/2015
 
Wanaweka hayo wanajua hawana mgombea kuongea kama anakula bagia hahaha
 
Kesho lazima nije na ma drum yangu ya mbege, naona wachaga wote watakuwepo hapo.
 
Hakuna mwana siasa alie na dini,kwa waislamu wezangu heri mtawala awe
Najash muadilifu
kuliko Abusufiani au

au HAJJAJI BIN YUSUF .Kikwete kawatia ndani mashekh ambao wanamswalisha
Na walimpa kura wakati wa uchaguzi dhidi ya Slaa wa CDM.Wakaziita kura maslahi,
Leo fadhila ya punda kawatia mdani na kuwafanyia uovu wa kuwanajisi.
Mzee Mwinyi nae hivyo hivyo waislamu hatukuwa raha ,mashekh walipigwa na kuburuzwa jela na wengine kuuwawa
 
Kuna watu wanasema watalala jangwani hasa wa kutokea mikoani wanaoletwa na CHADEMA ambao CHADEMA haina pa kuwalaza kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni kesho.

Sina tatizo la wao kulala viwanjani hofu yangu umati mkubwa kulala pale kipindi hiki cha kipindupindu si sahihi kabisa.Pale hakuna huduma za kiafya za kueleweka.Hebu fikiria hayo mafuriko yatakayolala yaanze kuharisha kwa kipindupindu usiku halafu yaambukize kipindupindu kwa mafuriko yatakayokuwemo kesho ikiwa ni pamoja na mgombea uraisi na mgombea mwenza si itakuwa hatari jamani.

Nashauri serikali ipige marufuku umati kulala Jangwani leo.
 
Ningependa kujiunga na hawa 4U Movement, nataka kutoa resources zangu kama magari ku-support hii movement, mwenye kuwajua please link me with them
 
Ccm na magufuli miaka 54 ya Sera inatosha Mimi lofa najiuliza tumefikaje hapa watoto wetu bado hawapati elimu bora? Mwaka huu twataka majibu na imani na ukawa yatapatikana
 
Ningependa kujiunga na hawa 4U Movement, nataka kutoa resources zangu kama magari ku-support hii movement, mwenye kuwajua please link me with them
huko kuna wenyewe, kama sii wa huko kwao basi wala usijisumbue na hicho kitaxi chako.
 
Basi kesho watu wa jiji watajaza malori na kondom zilizo tumika na viloba.
 
Unauhakika? Je kule Mbeya chadema tuliipeleka Tanzania nzima? Maana Mbeya Pia walikesha!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…