Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.

Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?

Religious-regionism political masquarads
 

Kupunguza kodi kwa wanyonge
 
Guys huwa nashangaa watu ambao mnajiangaisha kuwajibu Faizafoxy & Lizabon, unapogundua uwezo wa mtu kiakili ni mdogo suluhisho ni kumpotezea tu..
@Moderators, Watu tumetofautiana kiitikadi ila mkiona mtu anachochea vitu vya kidini au ukabila au ukanda kwenye comments zake au threads mbalimbali busara ni kumpiga a lifetime ban
 
leo ni mkesha wa kuikomboa Tz.toka kwa mkoloni ccm.
Hivi ninyi mkoje ninyi ndo mna mawazo ya kikoloni na wazee wenu watawala wa imla ambao wanakaa madarakani miaka kumi na ishirini na kana kwamba hamna watu wengine kwenye vyama vyenu ambao wana uwezo wa kuongoza.
 
Loh! Labda si FaizaFoxy, huyo babu mnafik na Lowassa kamzidi unafik.

Wachagga mmenunuliwa kama wale wa Ohio.


Inaonekana una phobia sana na wachagga but mi si mchagga....

Nimekupa tu ukweli wako kuwa mko kama mafunza msioleweka mbele yenu na nyuma yenu ni wapi....

Leo mzee Pombe kaahidi walimu atawapa maisha bora kama ya mapadri so nani kawapa hayo maisha bora mapadri??

Huna jipya we kigagula umepigwa bao!!!
 
Last edited by a moderator:
Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.

Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.


Wewe wasema humchagui sisi tutamchagua na tupo wengi sana na tutashinda

Ninyi ndo wanafiki miaka yote unashabikia ccm halafu huna hata pesa hahahahaaahaa
 
nani amekwambia tunamtaka kasuku? Watanzania hawamwitaji kasuku,

wanamtaka mtu mtendaji na sio kasuku,

Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
 
kuna gube gube moja linahangaika sana humu..
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.

We mda mwingne kama umekunywa ulanzi vle
 
Mbona Picha zilezile za tangu asubuhi zinazooneaha spika zikiwa chini?

Ndivyo ilivyo na itakavyokuwa?

Leteni updates na latest Picha kuonesha maandalizi ya uwanja
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.

Wazo la leo:bora kumpigia kura fisadi moja LOWASA anayeogopwa na mafisadi kuliko kumpigia kura MAGUFULI msafi mmoja anayeongozwa na mafisadi lukuki.
 
Nimepita mitaa flani hapa Shinyanga kuna wadau wawili wametoa ofa ya bure kumbi zao zenye TV kubwa anazotumia kuoneshea mpira ligi kuu ya uingereza na zingine kwa ajili ya wananchi kuja kufuatilia matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa CHADEMA/UKAWA ya ufunguzi wa kampeni!!

Tena jamaa wameandika kwa kesho hiyo kuanzia saa 4asb hadi saa 12jioni hakutakuwa na mechi yeyote ktk kumbi hizo kwa sbb hiyo!!

Aisee watu wana hamu kweli ya kuifuta CCM sijawahi kuona morali hii!!

Jamaa wako full, hats kama Tanesco wataagizwa na kitengo kukata umeme, standby generator zipo zimeandaliwa!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…