Naamini weye mtoto una uwezo wa kuandika kitu bora zaidi ya hiki.
Mbona unatoka povu sura mbaya .tulia iingieHii ukawa yenu mpya inakera sana mzee.. Hivi mtu anadanganya kweupee na yenzake yanachekelea kipumbavu.. Jangwani gani ina majukwaa tena yana maandishi.
Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu
Mbona unatoka povu sura mbaya .tulia iingie
Naam Ni Siku Nyingine Tena tulivu kabisa...Siku ya kihistoria kwa siasa za Tanzania...
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi..Siku ya uzinduzi wa kampeni za Edward Ngoyai Lowasa(CHADEMA) mgombea anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) hapa viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam...
Timu yako ya waandishi mahiri Molemo Chademakwanza Tumaini Makene tumepiga Kambi hapa tayari kabisa kukuletea kila kitalachojiri...