Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Ni saa 7 kasoro ucku uzi unatembea kwa kasi cjui kesho itakuwaje kweli mda wa mabadiliko ukiwadia hata uwe kipofu au kiziwi utahisi tu kunahali ambayo si yakawaida ukwaa ni shida
 
Kha ha haaaaaaaa! Kwa ukweli ndiyo wale wale!
HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!

Wapumbavu na Malofa tuna vichinjio vyetu..

Mkuu unalikumbuka jarida la sani miaka ya 90?
Ile sura ya LODILOFA kama BEN kabisa.
 
Standalone heshima mbele mkuu kama umelifurumua usiku huu basi sisi tuliokoa mikoani huku hatutabanduka humu mpaka ulimwengu utakaposhuhidia hapo baadaye kwamba MABADILIKO ni lazima.



Kiongozi nakwambia tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,huko ulipo jisikie uko home uwanjani Kamanda wetu! Tutajitahidi kadiri ya uwezo wetu!
 
Toroka kazini,
toroka shuleni,
toroka nyumbani,
funga duka,
hairisha safari,
kata tiketi,
piga mbizi,
kimbia harusi,
acha lindo,
acha bia,

âš- toroka uje âš-
 
Ukawa wachukue dolla kutoka kwa nani? Hivi mtu mwenye miaka hamsini na wewe mwenye mwaka mmjoja nani? Ana faida ya kuijuwa dunia
 
Siku ya kampeni za CCM Admin wa jamii forum aliweka picha ya mgombea wa ccm Magufuli. Tulikua tunaona picha hizo wakati tunacheki post mbalimbali humu jamvini.
Naamin admin hafungaman na chama chochote. Na sisi wana ukawa tunataka admin atuwekee picha za lowasa kwenye post mbali mbali.
Natumai ujumbe umefika.
 
Wapumbavu na Malofa tuna vichinjio vyetu..

Mkuu unalikumbuka jarida la sani miaka ya 90?
Ile sura ya LODILOFA kama BEN kabisa.



Kha ha ha haaaaaa! Nawe leo umenikumbusha mbali kweli Kamanda,nikikumbuka lodilofa inabidi kicheko tu........kha ha haaaaaaaa! Ndiy tunaifananisha na Ben kwa hapa bongo leo! Atasoma namba safari hii!
 
Afadhali make tulikuwa tumechoka na ranging kijani na njano
 
Last edited by a moderator:
walio karibu na jk wamwambie apite morogoro road akiwa anaenda msoga kuangalia mashamba maana kesho weekend alafu achungulie ajiridhishe je zile picha za kwenye magazeti ni za kutengenezwa au original
 
Mko watatu, sasa mshindwe kutupia updates na mapicha yakutosha yenye maelezo.
 
Wadau tunataka picha ya lowasa kwenye thread za JF kama admin alivyoweka zile za magufuli. Au mmasemaje wadau
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…