Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???

Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.

Kungekua hakuna mantiki basi thread isingefika page ya tano hii. By the way kwanini uchangie basi kwenye thread isiyo na mantiki??
 
16 BILLIONS EVERYWEEK LOSTAWAY!
BUT THE LET CALL THEM SCAVENGER TAKES ALL STAKES TO HOMES,
ii
 
Hapa najiuliza hivi watu wa Dar es salaam ambao maisha hayaendi bila kufanya kazi usiku na mchana kutwa ndio wameacha kazi zao na kuja kukesha jangwani? Au Yale magari yameanza kufika kutoka mikoani Leo lkn kwann wasinge watengenezea malazi Mimi nawaza tu
 
Ukawa wachukue dolla kutoka kwa nani? Hivi mtu mwenye miaka hamsini na wewe mwenye mwaka mmjoja nani? Ana faida ya kuijuwa dunia

Mkuu bila shaka una matatizo si bure aliyekwambia upinzani(mainly CHADEMA,CUF,NCCR) wana mwaka mmoja nani? Wakati hao CCM wako wakiwa na miaka 38 tokea 1977 wenzao upinzani wana miaka 23 tokea 1992 na sio mwaka mmoja kama ulivyosema...au hukumsikia mboe alivyosema CHADEMA INA MIAKA 23 KWENYE MAPAMBANO YA SIASA ZA NCHI HII,hivyo punguza ulimbukeni wako wa kuongea vitu improper ata kama una mahaba na CCM.
 
Kuna mjumbe wa chama cha majambazi amekamatwa na vitambulisho vya kupigia kura nyingi sana ila naona haki ikitendeka atasema namna hiyo dili ilivyo maana mpka sasa yuko chini ya sheria ya Jamhuri ya muungano


Tunarudia kusema ya kwamba BAO LA MKONO MWISHO NI BAFUNI

Cc Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna siku hili jamvi lilinikera kma siku ile..yan eti kila ukishusha uzi unakutana na ile sura ya kijani....Ila UKAWA na nyinyi msilale yan kama kile kinafasi kinauzwa basi na nyie kinunueni na ikae picha ya lowasa japo kwa leo tu au kma vp mpk oct 25...kina impact kubwa me nimekishtukia!!
 

Hivi bado wanaamini hizo mbinu za kizamani zitafanya kazi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mgombea wa Ukawa urais anapoteza kujiamini, kuongea?au mpaka kesho kwenye uzinduzi jangwani?
 
watu wanafahamu umeme utakatwa kwa hila za tanesCCoM hivyo hawataki kusimuliwa yatayojiri.
 
Wimbo mkali wa msagasumu -lowasa hakikisha unaupata-shabiki wa ukawa na lowasa
 
DU!! hiyo ni hatareeeeeee narudia ni hatareee..hapo keshi haitakuwa mafuriko tena ila itakuwa BAHARIII naona huo uwanja hautatosha nashauri ukawa wafunge MATV huko mbagala, Bunju, Gongo la mboto, kigamboni n.k ili wengine watazamie huko huko tu..LOWASA MABADILIKO..MABADILIKO LOWASA teh teh.....Salamu zimfkie J.K na MZEE LODILOFA
 
Twende na Lowassa
Ccm wanashangaa lowassa kupanda daladala hawakushangaa twiga na urefu wote ule wakapandishwa ndege na kusafirisha nje!!
Huyo raisi anatembea na sera za barabara na madaraja!! Hajui nyanja zingine!! Mwambieni Tanzania ina vitu vingi vya kushuhhulikiwa na sio barabara na madaraja aendezake huko mapadlock
 

Nasikia wanachadema masalia wameambiwa waanze kutoa hotuba leo usiku, na ndio wanaendelea kuhutubia hapo. Maana kesho walionunua chama ndio watakuwa na haki ya kuhutubia. Usiku huu Heche and the like ndio wanahutubia.

Kesho zamu ya kina Mgeja wamiliki wapia wa chama.
 

LODILOFA na Makongoro saa hizi wamelewa `nyagi chakari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…