SHABANIMAVOCHA
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 320
- 65
HayatuhusuMimi nipo huku Karatu nasikia leo mgombea wetu anafumua ufisadi wa serikali.
Fiesta haijawahi kukesha mbeya ,moro.
Kikwete akiwaambia mnaunganisha picha huwa mnakataaga sasa na hapo mmeanza uongo.wa wazi wazi hiyo si shoo ya fiesta
Hapa najiuliza hivi watu wa Dar es salaam ambao maisha hayaendi bila kufanya kazi usiku na mchana kutwa ndio wameacha kazi zao na kuja kukesha jangwani? Au Yale magari yameanza kufika kutoka mikoani Leo lkn kwann wasinge watengenezea malazi Mimi nawaza tu
tumekesha hapa,kuna vijana walijichukulia nafasi za kusimama ili waziuze kwa watazamaji,tumewakatazaNini kinaendelea hapo Uwanjani kwa sasa?
Mie nimelala hotel inaitwa d2 hapa kkoo. Nangojea saa tatu nisogee hapo jangwani.
Alipo tupo.
tumekesha hapa,kuna vijana walijichukulia nafasi za kusimama ili waziuze kwa watazamaji,tumewakataza
Unaota?