Wap huko?
Mvua ya baraka tumeipata. Hali ya hewa ni mzuri kabisa.Mungu amewapoteze ccm.walikua wwnataka kuleta mvua ya mapepo.sauti ya wengi ni sauti ya mungu
kwa mujibu wa mbowe . Tbc1, itv, eatv, azam tv, clouds tv na radio karibu zote za dsm.jaman naombe mnijurishe,watarusha matangazo kupitia chanel gan?
Hongera sana mdogo wangu Ms Lincoln, pambana!!! Jana kuna watu walisambaza ujumbe kuwa leo kuna mvua kubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani; je hali ya huko Dar ikoje?? Huku kwetu bara umeme umekatwa lakini kwa kutarajia hili tumechangishana tumenunua dumu tatu (75 litres) za petrol na tumewasha generator tuko na wadau mtaa mzima. Muda huu tuko tunaangalia na kusikiliza onyesho la hotuba ya Mwalimu Nyerere (Kilimanjaro hotel 1995) kuhusu wazanzibara na wazazinbari halafu itafuata hotuba ya Mwalimu Nyerere Mkutano Mkuu 1995 kuhusu mabadiliko ndani na nje ya CCM. Kwa kuwa tuliangalia shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya CCM, tunahitaji tuangalie vilevile shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya uKAWA ili tulinganishe. Leo ni raha tupu
tithoSanga mkutano utarushwa na ITV, Azam Tv na TBC 1 kuanzia saa tisa alasiri.Jaman naombe mnijurishe,watarusha matangazo kupitia chanel gan?
Umeona.. EhHii sasa kashfa, yaani ka-thread ka Magufuli na mwenzake nchi nzima kana page 62 tu lakini thread ya UKAWA kuanzia jana tu ina page 57! Tukiipa wiki kama ya Magufuli itakuwa na page 300! Hii ni ishara ya kukubalika kwa UKAWA!
Liquid siasa za ukanda hazina faida ndg yng. Ukiona mtu anafanya kampeni za vyama kwa kutumia hoja za udini, ukabila, jinsia ama ukanda basi huyo mtu ni wa kuogopwa kama ukoma.Wao c wanatutukana wacha watu wa kaskazini tuchukue nchi iwe mfano kwa wote
USILETE UONGO. HIVI VIMANYUNYU NI DALILI YA NEEMA. Muumba anasafisha maeneo vumbi lisiwatese watu uwanjani. kuanzia saa6 hakuna manyunyu hakuna mvua. NAKUHAKIKISHIA. UONE CHAGUO LA MUNGU LIPI. CCM ufunguzi wao hawajapata baraka ya namna hii. ni AJABU NA KWELI
Mvua ya lashalasha wakati mawingu meupe ni baraka.
Ukienda fanya jambo njiani ukakutana gafla na lashalasha ni neema tupu.
Kaskaziniiiii mwa tanzania oyeeeeee
Itv,tbc,clauds tv na channel ten + radio one mkuu