Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,248
Akistaafu lowasa 2025 nchi tunampa mheshimiwa Freeman mboe
Wamekata umeme mwanza tafadhari sana malofa wenzangu mtupe update
Mboe anajua kuongoza banaaa bt this time ni zamu ya hon lowasa next niya mboe haina shaka
Mitaa ya igoma-mhandu umeme upo, naomba Mungu hawa wangese wasikate umeme huku niliko. #people's#power
Mboe anajua kuongoza banaaa bt this time ni zamu ya hon lowasa next niya mboe haina shaka
Hongera sana mdogo wangu Ms Lincoln, pambana!!! Jana kuna watu walisambaza ujumbe kuwa leo kuna mvua kubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani; je hali ya huko Dar ikoje?? Huku kwetu bara umeme umekatwa lakini kwa kutarajia hili tumechangishana tumenunua dumu tatu (75 litres) za petrol na tumewasha generator tuko na wadau mtaa mzima. Muda huu tuko tunaangalia na kusikiliza onyesho la hotuba ya Mwalimu Nyerere (Kilimanjaro hotel 1995) kuhusu wazanzibara na wazazinbari halafu itafuata hotuba ya Mwalimu Nyerere Mkutano Mkuu 1995 kuhusu mabadiliko ndani na nje ya CCM. Kwa kuwa tuliangalia shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya CCM, tunahitaji tuangalie vilevile shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya uKAWA ili tulinganishe. Leo ni raha tupu
Rizki anaetowa ni mmoja tu, hata mimi mwenyewe sina uwezo wa kuitafuta. Inanifata nilipo bila kujuwa imefikaje. Kumbuka hilo.
ha haa haaaa.... adanganywi mtu..... wewe si mmoja wetu.... si mmoja wa malofa na wapumbavu..... hatudanganyiki.... niko mwanza hapa namsubiri raisi tuendeleze ukombozi....Sio ukanda kaskazini tumesoma banaaaa huyo magufuli kuingea yenyewe hajui