Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

Sasa wewe umesema wazi kuwa ni msenge. Usenge ufanye wewe halafu eti unaomba Muumba akuepushie mbali na usenge. Kwani yeye ndiye alikuambia uwe msenge.

Kwenye maandamano wataenda watu wenye akili timamu wanaujua thamani ya uhai wa mwanadamu. Wanaenda kuandamana kupinga ushetani wa kuteka na kuua watu unaofanywa na hawa mashetani. Ninyi wasenge, kama ulivyojitambulisha mwenyewe, hamtakiwi kwenye maandamano, mtayanajisi kwa uchafu wenu.
Ni kweli huyu dogo ni msenge anafahamika Buza yote.
 
Hivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa
Hii huruma kwa mafukara mnaitoa wapi?! Unafiki kitu mbaya sana. Waacheni hao mafukara wajihurumie wao wenyewe na wajiamulie wao wenyewe. Siyo kuwaelekeza cha kufanya kwa sababu tuu wao ni mafukara na ninyi ni matajiri.
 

Attachments

  • IMG-20240921-WA0089.jpg
    IMG-20240921-WA0089.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Kwa jinsi tension ilivyo ni vyema vikao mkaendeshea mitandaoni .
Yaani mnajua mnawindwa bado mnakutana hovyo.
 
John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.

View attachment 3102528


Mtaangalizwa wote kwa kukosa maarifa . Kikao cha ndani cha nini wakati wafu wanasimu janja . Hivi ishu sirious kama hii bado tu mnakaa kikao kwenye eneo linalojulikana.

Kwa nini hatasiende baa kama vile kuna kikao cha harusi .

Badilikeni mtamalizwa kiboya .
Halafu mpaka sasa hamna vifaa vya kurikodi kama kalamu ,CCTV kamera , Kofia zenye kamera, vifungo vyenye kamera.

Kalamu zenye uwezo wa kutumia risasi ili mtu akishagundua ametekwa basi anafyatua watu ili mwenye mbwa ajitokeze kumaliza utata.

Hao viongozi waliokamatwa wamepelekwa kituo gani cha polisi au wamepelekwa kwenye ofisi za rais Tamisemi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa jinsi tension ilivyo ni vyema vikao mkaendeshea mitandaoni .
Yaani mnajua mnawindwa bado mnakutana hovyo.

Hata mimi nimeshangaa .
Hawa jamaa hawana mikakati ya kisayansi na ndio maana wanadhibitiwa kiboya na watu wajinga kama UVCCM.

Na maandamano yasipofanyika ni bora Mbowe ajiuzulu maana hana maana yoyote ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kinacholaghai watu wauawe wa akiwa wamepumzika majumbani mwao au kwenye mabasi . Bora wauwawe wakiwa wanapaza sauti mitaani na ionekane kabisa wameuawa kwa kutumia bunduki za polisi.Sasa hawaandamani wanauawa ,wanaandamana wanauawa . Kipi kizuri.

Ukimeza nchale ,
Ukitema nchale .
Bora umeze ili ushibe maana unaweza hata kupata nguvu ya kukimbia kuliko kutema .
 
Kifungu gani cha sheria ipi kinasindikiza hii hoja yako mkuu

Hii ni vita murya ukibaki kuangalia vifungu utauawa kiboya mkuu.
Hapa inatakiwa kutumia maarifa kuwadhibiti Wateso wako kwa namna yoyote . Zamani walikua wanatumia sayansi za asili kama uchawi kikao kinafanyika bila adui kuona watu .
Sasa kuna mitandao na simu janja vikao vinaweza vikafanyika kama kipindi cha Covid

Kinachotakiwa kwa sasa ni kuPambana kwa akili na ujasiri mpaka adui arudi nyuma ndio upate nafasi na muda wa kupitia vifungu baada ya adui kuomba poo.

Sasa viongozi kila siku wanakamatwa wakiwa kwenye vikao na wengine kuumizwa na kuuawa bado tu wanabaki na mbinu hiyo hiyo kweli na wanaona ni ujanja kuteswa wao tu na kulia wao tu kila siku . Siasa gani hizi za woga .

HAKUNA CHAMA CHA KIDIKTETA KINATOKAGA MADARAKANI KILAINI BILA KUFINYANA NAO WAKANZA KULIA WAO PIA .
Woga wetu ndio ushindi wao.

Kusanyikeni basi hata porini msali kwa Mungu ili Mungu ampe amri Malaika Michael ashushe kikosi cha malaika 12 tu cha majeshi yake ili yawapapambanie Chadema dhidi ya uonevu 'a mauaji kama wana wa Israel wakati wa Joshua.

Kuna wakati inashangaza kuona Ofisi kubwa ya kanda haina hata CCTV kamera kurikodi matukio yanayoweza kufanywa na Majambazi wa kidola
 
Back
Top Bottom