Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

Ipo tofauti ya kuiga na ku copy kisha ku paste. Kiswahili kifunyu.
Kwa hiyo tuseme "kunakili"?

Hii ku-'paste' inabidi kuwaona BAKITA.

Maana yangu kwenye bandiko hilo ni kwamba njia wanazotumia Kenya, tena bila ya kuwa na mafanikio, lakini kwa maumivu zaidi na kupoteza uhai, si lazima tutumie njia hizo hizo hapa kwetu.
Hali yetu hapa ni tofauti sana na hali ya huko Kenya.
 
Back
Top Bottom