Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 4,062 Reaction score 5,741 Jul 13, 2023 #21 GIVE ME DEATH OR GIVE ME FREEDOM
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Jul 13, 2023 #22 brazaj said: Ipo tofauti ya kuiga na ku copy kisha ku paste. Kiswahili kifunyu. Click to expand... Kwa hiyo tuseme "kunakili"? Hii ku-'paste' inabidi kuwaona BAKITA. Maana yangu kwenye bandiko hilo ni kwamba njia wanazotumia Kenya, tena bila ya kuwa na mafanikio, lakini kwa maumivu zaidi na kupoteza uhai, si lazima tutumie njia hizo hizo hapa kwetu. Hali yetu hapa ni tofauti sana na hali ya huko Kenya.
brazaj said: Ipo tofauti ya kuiga na ku copy kisha ku paste. Kiswahili kifunyu. Click to expand... Kwa hiyo tuseme "kunakili"? Hii ku-'paste' inabidi kuwaona BAKITA. Maana yangu kwenye bandiko hilo ni kwamba njia wanazotumia Kenya, tena bila ya kuwa na mafanikio, lakini kwa maumivu zaidi na kupoteza uhai, si lazima tutumie njia hizo hizo hapa kwetu. Hali yetu hapa ni tofauti sana na hali ya huko Kenya.
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Jul 15, 2023 #25 Magonjwa Mtambuka said: Huku tumejificha chini ya uvungu🤣 Click to expand... Taratibu taratibu tutafikia huko. Kila jambo ni hatua
Magonjwa Mtambuka said: Huku tumejificha chini ya uvungu🤣 Click to expand... Taratibu taratibu tutafikia huko. Kila jambo ni hatua
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 15, 2023 #26 Noti bandia said: Taratibu taratibu tutafikia huko. Kila jambo ni hatua Click to expand... Kama ni hivyo basi utafika umechoka🤣
Noti bandia said: Taratibu taratibu tutafikia huko. Kila jambo ni hatua Click to expand... Kama ni hivyo basi utafika umechoka🤣
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Jul 15, 2023 #27 Magonjwa Mtambuka said: Kama ni hivyo basi utafika umechoka🤣 Click to expand... Ilimradi nimefika
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 15, 2023 #28 Noti bandia said: Ilimradi nimefika Click to expand... Haya sawa🤣