Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Desk negotiation ilikuwa nzuri zaidi, na endapo angekataa hiyo wito ndio maamuzi hayo yangefuata / ndio maana ya kutumia hekima na ubinadamu sasa hiyo mtoto ya shule imekufa sasa hiyo ni sawa?Jinga wewe!
Kaeni kwa kutulia tuli! MdOgo mdogo:Endeleeni kujifunza Ufipa st
Wakenya mara ya mwisho kuandamana ni faida gani walipata zaidi ya kuzika ndugu zao .?
Hapana mkuu wenye nchi wananchi Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza taabu gani kumsikiliza wakajenga nchi wote?Huyo raila kama anataka kutangazwa rais amtafute miguna miguna amwapishe kama alivyofanya kipindi kile.......anazeeka vibaya akitiwa nguvuni asianze kulialia.
Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza hawataki mazungumzo:Desk negotiation ilikuwa nzuri zaidi, na endapo angekataa hiyo wito ndio maamuzi hayo yangefuata / ndio maana ya kutumia hekima na ubinadamu sasa hiyo mtoto ya shule imekufa sasa hiyo ni sawa?
I always stands and believe in negotiations!
Maandamano yasiyo na kikomo ndio humtoa kiongozi kwenye nafasi yake. Haya ya siku mnaandamana na siku zingine mnapumzika ni yakutafuta maridhiano na kuwapa mkate viongozi wa maandamano bhasssKimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.
Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.
Maandamano: Protests to take place Mondays and Thursdays, Raila announces
Kwamba si jumatatu peke yake ila na Alhamisi pia, rasmi kuanzia wiki ijayo.
Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za kwetu.
Power belongs to the people.
Mbona kitaeleweka tu.
Maandamano yasiyo na kikomo ndio humtoa kiongozi kwenye nafasi yake. Haya ya siku mnaandamana na siku zingine mnapumzika ni yakutafuta maridhiano na kuwapa mkate viongozi wa maandamano bhasss
Come again say what 😂😂😂Huyu Jamaa' Ni M bishi Sana Ila Aangalie vizuri Hakuna mtu smart Tena smartest Hapa Kenya kama Ruto:
Rais Ruto Ni wa kuogopwa Kama una Akili nzuri this man is more than Genius chezea uhuru sio Ruto wewe!
Makenya yana Wajihi usiovutia kbs.. Masura yamefubaa.Njaa Iko Kila mahali na ndiyo inayowatoa wakenya mabarabarani:
View attachment 2560724
Sufuria hizo zinaashiria njaa kali!
Makenya yana Wajihi usiovutia kbs.. Masura yamefubaa.
Ukiweka Mtz na Mkenya unaona tofauti kbs
Huyu mzee ashukuru Kenya police wake wana utu ingekuwa bongo waandamanaji wangepukutikaHuyu mzee amekwisha kula chumvi nyingi, Kwanini anawaponza vijana kipuuzi namna hii, huyu mzee hana hekima kabisa, ruto ampe kanafasi akae mpaka atakapomaliza muda wake huyu anataka kufa na wengi huyu si bure
Ulikubaliana na LGBTQ wenzio auNyuso za watu si tulikubaliana kuwa relevance yake ni kwa LGBTQ huko.
Acha mikwara ya kitoto, kipindi Odinga anafungwa kwa kupanga kumpindua Moi huyo Ruto alikua busy kufanya ufisadi kupitia Youth for Kanu!!Huyu Jamaa' Ni M bishi Sana Ila Aangalie vizuri Hakuna mtu smart Tena smartest Hapa Kenya kama Ruto:
Rais Ruto Ni wa kuogopwa Kama una Akili nzuri this man is more than Genius chezea uhuru sio Ruto wewe!
Hawana utu ila wanajua moto wa ukabila. Yatajirudia ya 2007!! So lazima wawe lenient.Huyu mzee ashukuru Kenya police wake wana utu ingekuwa bongo waandamanaji wangepukutika
Yawezekana unajua Siasa ya Kenya vizuri it's okay but Ruto kashinda state ww!Acha mikwara ya kitoto, kipindi Odinga anafungwa kwa kupanga kumpindua Moi huyo Ruto alikua busy kufanya ufisadi kupitia Youth for Kanu!!
Sasa kama Moi alisalimu amri kwa Odinga ndio sembuse huyu Ruto wenu ambaye Hana legitimacy ya mora than 51% ya wakenya!!
Njaa Iko Kila mahali na ndiyo inayowatoa wakenya mabarabarani:
View attachment 2560724
Sufuria hizo zinaashiria njaa kali!
Mnachokitaka mtakipata. Yote kwa sababu kuna mtu anayeamini kuwa kiti cha urais ni chake.Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.
Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.
Maandamano: Protests to take place Mondays and Thursdays, Raila announces
Kwamba si jumatatu peke yake ila na Alhamisi pia, rasmi kuanzia wiki ijayo.
Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za kwetu.
Power belongs to the people.
Mbona kitaeleweka tu.
Kashindwa kwenye sanduku la kura sasa anatafuta njia nyingine....Huyo raila kama anataka kutangazwa rais amtafute miguna miguna amwapishe kama alivyofanya kipindi kile.......anazeeka vibaya akitiwa nguvuni asianze kulialia.