Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

Huyo raila kama anataka kutangazwa rais amtafute miguna miguna amwapishe kama alivyofanya kipindi kile.......anazeeka vibaya akitiwa nguvuni asianze kulialia.
Hapana mkuu wenye nchi wananchi Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza taabu gani kumsikiliza wakajenga nchi wote?
 
Desk negotiation ilikuwa nzuri zaidi, na endapo angekataa hiyo wito ndio maamuzi hayo yangefuata / ndio maana ya kutumia hekima na ubinadamu sasa hiyo mtoto ya shule imekufa sasa hiyo ni sawa?
I always stands and believe in negotiations!
Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza hawataki mazungumzo:

FrqctdLXwAAuQ17.jpeg

Dawa ya moto ni moto. Hadi kieleweke.
 
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.

Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.

Maandamano: Protests to take place Mondays and Thursdays, Raila announces

Kwamba si jumatatu peke yake ila na Alhamisi pia, rasmi kuanzia wiki ijayo.

Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za kwetu.

Power belongs to the people.

Mbona kitaeleweka tu.
Maandamano yasiyo na kikomo ndio humtoa kiongozi kwenye nafasi yake. Haya ya siku mnaandamana na siku zingine mnapumzika ni yakutafuta maridhiano na kuwapa mkate viongozi wa maandamano bhasss
 
Maandamano yasiyo na kikomo ndio humtoa kiongozi kwenye nafasi yake. Haya ya siku mnaandamana na siku zingine mnapumzika ni yakutafuta maridhiano na kuwapa mkate viongozi wa maandamano bhasss

Nini kinafanyika vipi, kwa Nini wenzetu wanaweza, kwa Nini wenzetu wanafanikiwa nk vyote viko wazi. Ajabu na kweli sisi tunakwama.

Kama ni mpira basi unazagaa zagaa golini kipa kaenda sokoni.

PAswI kushindwa kuikwamisha ngoma hii kambani.
 
Huyu mzee amekwisha kula chumvi nyingi, Kwanini anawaponza vijana kipuuzi namna hii, huyu mzee hana hekima kabisa, ruto ampe kanafasi akae mpaka atakapomaliza muda wake huyu anataka kufa na wengi huyu si bure
Huyu mzee ashukuru Kenya police wake wana utu ingekuwa bongo waandamanaji wangepukutika
 
Huyu Jamaa' Ni M bishi Sana Ila Aangalie vizuri Hakuna mtu smart Tena smartest Hapa Kenya kama Ruto:
Rais Ruto Ni wa kuogopwa Kama una Akili nzuri this man is more than Genius chezea uhuru sio Ruto wewe!
Acha mikwara ya kitoto, kipindi Odinga anafungwa kwa kupanga kumpindua Moi huyo Ruto alikua busy kufanya ufisadi kupitia Youth for Kanu!!

Sasa kama Moi alisalimu amri kwa Odinga ndio sembuse huyu Ruto wenu ambaye Hana legitimacy ya mora than 51% ya wakenya!!
 
Yawezekana unajua Siasa ya Kenya vizuri it's okay but Ruto kashinda state ww!
 
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.

Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.

Maandamano: Protests to take place Mondays and Thursdays, Raila announces

Kwamba si jumatatu peke yake ila na Alhamisi pia, rasmi kuanzia wiki ijayo.

Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za kwetu.

Power belongs to the people.

Mbona kitaeleweka tu.
Mnachokitaka mtakipata. Yote kwa sababu kuna mtu anayeamini kuwa kiti cha urais ni chake.

Amandla...
 
Huyo raila kama anataka kutangazwa rais amtafute miguna miguna amwapishe kama alivyofanya kipindi kile.......anazeeka vibaya akitiwa nguvuni asianze kulialia.
Kashindwa kwenye sanduku la kura sasa anatafuta njia nyingine....
 
Back
Top Bottom