Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
Screenshot_20220509-062018.jpg
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Mara nyingi ukiona hivi ujue hii shughuli watu wameingia chaka , naionea huruma Tanzania.
 
La kuvunda halina ubani. Filamu lishabuma wanahangaika kumfichia aibu Samia.
 
Wakati mwingine njaaa ikizidi inaweza kufanya ukaonekana kituko mbele ya watu. Huyu mama tozo kazungukwa na watu aidha wanamuogopa au wanajipendekeza kwake... ukimuogopa mtu huwezi kumwambia ukweli ,ukijipendekeza Kwa mtu utakuwa unamwambia taarifa za uongo Ili aendelee kukuona wa maana
 
Mratibu ni Mwijaku na Tivu ake unategemea nini?

Hapo kuna gharama za fulana na posho kidogo, sidhani kama ni ndani ya ile ile bilioni saba.
 
Unaijua Lumumba buku 7?

Ndio hao sasa majuha wanaolipwa kuja kusema anaupiga mwingi.

Wengi wao ni wao ni mediocre brain kwa sababu kupishana corridor za Lumumba kuandaa ngojera za kumsifu huyo bibi wao wanaona ni deal huku inaenda mrama.
 
Inashangaza mno mambo yasiyokuwa na tija ndio tunayapa kipaumbele.

Badala ya kuandamana kutokana na kupanda hovyo kwa gharama za maisha wanaandamana kwa ajili ya filamu.
 
Back
Top Bottom