Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Tumefika hapa tulipo kwasababu ya udhaifu wa rais Samia na UVCCM
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
watu tunawaza vitu vinavyoumiza wananchi tushindwe kumudu gharama ya maisha wengine wanafanya mambnya ajabu.Haya mambo ya kupongeza visivyostahili maandamano yapongezi yalianza kipindi cha jpm
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Hiki ni kiashiria kikuwa kuwa asilimia kubwa ya nguvu kazi (vijana) hawana ajira/kazi ya kufanya. Pia, huenda ktk maandamano kama haya kuna fursa yaani chochote kitu kinatolewa kwa kila mshiriki au hawa vijana wana mahaba na uongozi wa mama na wana maono makubwa na utalii.

Sera zikiwa nzuri na yakiwepo mazingira mazuri ya uwekezaji na upatikanaji wa uhakika wa nishati hii nguvu kazi ni mtaji mzuri sana
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Hao Ni wachumia tumbo waliopigwa na maisha,wamekusanywa na Bank ya NMB wamepewa tisheti na 5,000/@ ,hapo Hakuna hata mmoja mwenye familia.
 
Ndo uwezo wetu umeishia hapo. Mama tumuunge mkono kwa kufanya kazi
 
Inashangaza mno mambo yasiyokuwa na tija ndio tunayapa kipaumbele.

Badala ya kuandamana kutokana na kupanda hovyo kwa gharama za maisha wanaandamana kwa ajili ya filamu.
Tangu lini mambo ya tija tunayapa kipaumbele nchi hii

Ova
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Ndiyo tatizo la kutosoma, watu wanakataa shule wanakwenda chuoni kukariri vitu visivyo na manufaa kwao, mwisho wa siku ndiyo tunapata vijana kama hawa wasiojitambua wakiandamana mtaani. Ukiwauliza huku kuandamana kwao kuna wasaidia nini, utashangaa wanacheka tu.
 
Back
Top Bottom