Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hiyo ni kazi ya chawa, kusambaza propagandaUjinga mtupu, kuendekeza upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kazi ya chawa, kusambaza propagandaUjinga mtupu, kuendekeza upuuzi
Bora angeandika:Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Vijana wa Tanzania wengi ni vilazaKwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Mimi anipimie kitochi ya Kangara😝Weye si uachane nao!Fanya yako.Hebu nipimie kangala ya jero kwanza.
watu tunawaza vitu vinavyoumiza wananchi tushindwe kumudu gharama ya maisha wengine wanafanya mambnya ajabu.Haya mambo ya kupongeza visivyostahili maandamano yapongezi yalianza kipindi cha jpmKwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
LOST GENERATION![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa..nchi ngumu sana kwa kweli. Ujinga hadi kwenye kucha umewajaa hawa vijanaKwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Hiki ni kiashiria kikuwa kuwa asilimia kubwa ya nguvu kazi (vijana) hawana ajira/kazi ya kufanya. Pia, huenda ktk maandamano kama haya kuna fursa yaani chochote kitu kinatolewa kwa kila mshiriki au hawa vijana wana mahaba na uongozi wa mama na wana maono makubwa na utalii.Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Hao Ni wachumia tumbo waliopigwa na maisha,wamekusanywa na Bank ya NMB wamepewa tisheti na 5,000/@ ,hapo Hakuna hata mmoja mwenye familia.Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Teh tehUnajipa presha ya bure.Tulia.Waache waandamane.Fanya yako.Utafuatilia mangapi duniani?
Tangu lini mambo ya tija tunayapa kipaumbele nchi hiiInashangaza mno mambo yasiyokuwa na tija ndio tunayapa kipaumbele.
Badala ya kuandamana kutokana na kupanda hovyo kwa gharama za maisha wanaandamana kwa ajili ya filamu.
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
majitu majinga ndo yanashiriki maandamano haya ya kipuuziKwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Tatizo hii nchi vijana wengi wanakula na kulala kwa shemeji zao.Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Ndiyo tatizo la kutosoma, watu wanakataa shule wanakwenda chuoni kukariri vitu visivyo na manufaa kwao, mwisho wa siku ndiyo tunapata vijana kama hawa wasiojitambua wakiandamana mtaani. Ukiwauliza huku kuandamana kwao kuna wasaidia nini, utashangaa wanacheka tu.Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Ndiyo anapenda kuandamana?Cheko sana kama Chekoslovakia.Huu ujumbe auone Moisemusajiografii
Kwani mwandiko wangu unatoa sauti kali?Wewe paka shume kaa kimya