Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Uchawa ni uchawi mpya, umekuwa msingi wa kuishi nchini hasa mjini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DazPT-SW0AA0YHf.jpg
 
Ni mwendo wa mbuzi kujitengenezea Kamba...., hii Keki ya taifa inayoliwa na wachache wengine inabidi wawe ma-cheerleaders ili waweze kupata makombo...
 
Viongozi wetu ndo wanafikiri kwa kutumia sijui nini. Wakitaka majibu halisi waulizie mtaani ama kwenye mitandao ya kijamii watayapata. Hapo ni sawa na kuficha kichwa kwenye mchanga wakati hips zimechipuka nje
 
Waandamanaji wamekula hela tayari,wanalazimisha akili za Watanzania waamini kuwa royal tour ina tija kwa taifa
 
This country bana.
"Tunaandamana blah bla blaa chapa viboko hao shenzi zao.
 
Back
Top Bottom