Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

Kwa haya yanayoendelea inabidi nitazame tena faida ya royal tour
 
Duh!. Labda wamegundua kuwa na Mama nae anapenda misifa kama ilivyokuwa kwa JPM.

Ningewaona wa maana iwapo wangeandamana kwa sababu ya Mafuta kupanda bei.
 
Mama Anauzoa mwingi 😊😊
279575848_122214170459936_6720259046713314432_n.jpg
 
Ujinga wa Magufuli mnaurudia tena huu ni ujinga machawa nyie mngeonekana wa maana kama mngeandamana kupinga ughali wa maisha tozo na kupanda kwa mafuta sio huu uchawa wenu.
 
Back
Top Bottom