Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
This is Tanzania, mtuacheKwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Mara nyingi ukiona hivi ujue hii shughuli watu wameingia chaka , naionea huruma Tanzania.Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Mikakati kutoka Political desk🤣🤣Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Kama zilivyokuwa za mwendazake. Naona wanapita mule muleMara nyingi ukiona hivi ujue hii shughuli watu wameingia chaka , naionea huruma Tanzania.
Unajipa presha ya bure.Tulia.Waache waandamane.Fanya yako.Utafuatilia mangapi duniani?Ndio walewale
Nchi maskini hadi wananchi wake wamekuwa maskini wa akili....
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Lini huu upuuzi utaisha kwa wadanganyika?Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Point!!!Unajipa presha ya bure.Tulia.Waache waandamane.Fanya yako.Utafuatilia mangapi duniani?