Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Kwa haya yanayoendelea inabidi nitazame tena faida ya royal tour
 
Duh!. Labda wamegundua kuwa na Mama nae anapenda misifa kama ilivyokuwa kwa JPM.

Ningewaona wa maana iwapo wangeandamana kwa sababu ya Mafuta kupanda bei.
 
Mratibu ni Mwijaku na Tivu ake unategemea nini?

Hapo kuna gharama za fulana na posho kidogo, sidhani kama ni ndani ya ile ile bilioni saba.
Hapana waratibu ni wale gang of thieves
 
Ujinga wa Magufuli mnaurudia tena huu ni ujinga machawa nyie mngeonekana wa maana kama mngeandamana kupinga ughali wa maisha tozo na kupanda kwa mafuta sio huu uchawa wenu.
 
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?

Rais akinunua ndege mtaandamana?

Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.

What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
View attachment 2217597
Kuna mtu kapiga pesa kuprint tshirts na kuwapa wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…