Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.

Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?

Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
 
Sikuile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.

Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?

Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Tena sasq hivi tunafungia mikutano ya aina yoyote ya hawa wajinga.
 
IMG_20240817_110741_956.jpg
 
Lissu hajui lengo la Mbowe...

Anachokitaka huyo kengeza ni attention kimataifa ili zitoke fedha za ufadhili wa hayo maandamano...

Kengeza hajawahi kua serious na wananchi hata siku moja, kila anachofanya ni kwa maslahi binafsi...

Bado namshauri Tundu Lissu aangalie namna ya kukaa mbali na kengeza asichafuke.
 
Hivi issue ni kushindana kuandamana na kukatazana kuandamana au ni kushinikiza / kuondoa huu upuuzi unaoendelea wa watu kukosa Imani na Polisi hence kuelekea kwenye anarchy ? Binafsi naona tumeloose the plot...

Politizing important issues
 
Sikuile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.

Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?

Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Maandamano yamefanikiwa sana.
Polisi imeandamana siku 3, wakiwaambia dunia kuwa wao ni wauaji na watekaji.
Ulitakaje?
Polizi wameandamana kutoka mikoani kuja Dar.
Jana usiku polido afisa moja aliniambia.

Michadema mijinga sana, imetuandamisha mikoa yote🤣🤣🤣
 
Lissu hajui lengo la Mbowe...

Anachokitaka huyo kengeza ni attention kimataifa ili zitoke fedha za ufadhili wa hayo maandamano...

Kengeza hajawahi kua serious na wananchi hata siku moja, kila anachofanya ni kwa maslahi binafsi...

Bado namshauri Tundu Lissu aangalie namna ya kukaa mbali na kengeza asichafuke.
Akili za hivi tu ndo umchunguze Mbowe?
 
Back
Top Bottom