Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.

Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?

Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Haikuwa BUSARA Kutoka kumzika Mzee yule wakaendelea na maandamano,

Tafsiri hiyo kiroho ni kuwa, mnaongozwa na Roho ya kaburi kufanya maamuzi.

Maandamano yanahitaji Mpango, sasa kuandamana kama mwendawazimu Si akili hiyo.

Namuunga mkono Mbowe.
 
Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.

Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?

Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Kesha andamana huko Magomeni..... 😀
 
Maandamano yamefanikiwa sana.
Polisi imeandamana siku 3, wakiwaambia dunia kuwa wao ni wauaji na watekaji.
Ulitakaje?
Polizi wameandamana kutoka mikoani kuja Dar.
Jana usiku polido afisa moja aliniambia.

Michadema mijinga sana, imetuandamisha mikoa yote🤣🤣🤣
Tena wameandamana kwa gharama za fedha😅
 
Narudia tena na kukazia

Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm.

Sisi tukomae na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume na misambwanda

Ilitakiwa kuanzia pale kwenye msiba Tanga, angeondoa uungwana wake akakaa kimya ile ilikuwa cheche isingezimika
 
Watumie PAGER tu kwa mawasiliano TCRA wangepoteana 😄
 
Maandamano yamefanikiwa sana.
Polisi imeandamana siku 3, wakiwaambia dunia kuwa wao ni wauaji na watekaji.
Ulitakaje?
Polizi wameandamana kutoka mikoani kuja Dar.
Jana usiku polido afisa moja aliniambia.

Michadema mijinga sana, imetuandamisha mikoa yote🤣🤣🤣
Chadema akili kubwa sana yaaani. Polisi wameandamanishwa bila kupenda.
 
Lissu hajui lengo la Mbowe...

Anachokitaka huyo kengeza ni attention kimataifa ili zitoke fedha za ufadhili wa hayo maandamano...

Kengeza hajawahi kua serious na wananchi hata siku moja, kila anachofanya ni kwa maslahi binafsi...

Bado namshauri Tundu Lissu aangalie namna ya kukaa mbali na kengeza asichafuke.
Wanaoteka nao sio watanzania......acha uchawa :FeelsDance:
 
Hawa kina Lisu wametengeneza tu attention, walijua kabisa kitachotokea!!

Hapo sasa inawaandaliwa speech, anyway nchi hii sio huru...
 
Back
Top Bottom